Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,040
- 6,787
Hahahaha Mkuu umetaja home kabisa, hata hapo Nyasaka sec nimesoma form four ya kwanza kumaliza sisi, home ni hapo karibu na sokoYah Nyasaka saizi imebadilika sana hasa baada ya hiyo barabara inayoenda kuunga na Buzuruga kujengwa....
Wazazi wanaishi Nyasaka center kwa juu kidogo karibia na Shule ya Secondary Nyasaka...
Hilo eneo kwa sasa panajengeka sana mijengo ya maana pia kuna barabara ya vumbi inayounganisha barabara ile inayotoka saba saba kupita Kiseke, PPF , Nsumba hadi Buswelu na hii ya Nyasaka hadi Buzuruga...

