Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Ofcourse,mi nakushauri ..Kwa sababu zifuatazo ..
ujio wa wilaya ya kisesa...by 2025 itakuwa ni agenda ya kushawishi apate kura ..
Of course , Wilaya ya Kisesa haiepukiki.
barabara hyo inazidi kuwa ya mkakati usafiri wa mabus ya musoma ,malori ,na mabus yaendayo nyamhongolo Toka mikoani yatakuwa yanapita .
Ujenzi wa sGr .ambapo mji wa fela utaungana na kisesa kupitia hayo maeneo .
Bus za Musoma zinapita njia hiyo kutokea wapi?

Maana ninavyojua magari ya Musoma yanatokea Nyamhongolo huku ya Shy, Dar, yanatokea Nyegezi???!!
 
Of course , Wilaya ya Kisesa haiepukiki.

Bus za Musoma zinapita njia hiyo kutokea wapi?

Maana ninavyojua magari ya Musoma yanatokea Nyamhongolo huku ya Shy, Dar, yanatokea Nyegezi???!!
Musoma to dar .musoma to other regions..
 
Wengi wamadai Kishiri changamoto ina milima sana
Kishiri ni kubwa ,,,imextend igoma,inakuja inapakana na nyamhongolo,inapakana na kisesa ,inakuja Ina border Kona ya fela,inapakana na buhongwa..Ina maeneo yote ya tambalale na milima .
Kishiri ni kimbilio la watu wengi wanaotaka viwanja bei nafuu ..mim nina watu nawafahamu wamenunua viwanja Hadi laki sita ..sema changamoto kubwa Ni maji ..kuhusu barabara lami ya igoma to buhongwa italeta unafuu
 
Leo nilikuwa kahama buswelu aisee kumbe Lami ilishafika huko wametengeneza had parking nzur ya stand ya coaster nzur sana kilichonifurahisha nimekuta kuna sheli ipo finishing ina floor 2
 
ila wazee tuseme ukweli kipind cha samia maujenz mwanza yameshika kas sana hasa masheli af nimepita njia ya sabasaba buswelu haloo Napo kuna masheli sio mchezo af pale kiseke A kuna bonge Moja la pub balaa
 
Bila shaka una maanisha jengo hili mkabala na kingdom hotel
1662827483810-01.jpeg
1662827513639-01.jpeg
 
Back
Top Bottom