Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Screenshot_20220902-210545~2.png
 
Hongera kaka kwa kutujuza.
Mimi huwa nasema kila siku mwanza itaendelea kuwa mji wa pili kwa ukubwa for ages, kuna watu huwa wanahofia dodoma lakini kiuhalisia dodoma bado sana.
Tatizo kubwa mwanza ni barabara, hata zinazojengwa nje ya CBD ziko cheap hazina njia za waenda kwa miguu yaani inapunguza mvuto wa barabara.
Nyumba za milimani nazo tatizo zinaharibu muonekano hasa pale kati, na ndio watu wengi huona hizo nyumba na kufikiria mza yote iko hivyo.
Eneo likichangamka kama nyegezi jiji wawe wananunua baadhi ya nyumba na kubadilisha matumizi, mfano wanavunja wanaplan malls au parking etc.
Bajeti ya sasa tuna kama 40km kama zikijengwa.
Njia ya shy na Musoma zikitanuliwa kuwa njia nne mji utapendeza sana.

Ushauri kwa viongozi wa mwanza, nawapa idea ya Chanzo kingine cha mapato.
Kama walivyo jenga stendi za mabasi basi wafanye hivyo kwenye usafiri wa maji, wajenge bandari maalumu kwa ajili ya meli, feri na boti, bandari ziwe zina maduka migahawa nk then wenye vyombo vya usafiri wawe wanatumia kwa kulipia kama ilivyo mabasi au ndege hakuna anayejenga airport yake. Biashara huria huwa ina mipaka yake vilevile.
umesema vyema sana izo barabara ni muhimu sana kwa mwanza na nilisha sema apa huu mji ni mkubwa njia mbili kwa sasa sio size yetu.. pia nyumba za milimani azina muonekano mzuri rasimisa jenga aparment humo.
 
sccania fire.jpeg

1582794929586.jpeg

Mwanza ni mji mkubwa sana lakini katika ili eneo la uokozi tumejisahau. hapa tunajenga majengo marefu sana ila viokozi kwenye majanga atuna na ni vichache vimechoka... viongozi ongezeni nguvu pia apa....
pia juzi juzi apo kulikua natukio la moto kwenya casino apo mwanza hotel.. nguvu ilikua kidogo..
tuachane na fire za airport..

USHAURI..
zianzishwe brach za jezi la uokozi BUHONGWA, IGOMA, NA city center itakua poa sana..........
i love tz i love mwanza...................................
 
Kuhusu foleni kwa mawazo yangu ni hivi, nafikiri nje ya mji barabara zitapanuliwa ila ndani ya mji waweke utaratibu wa one way.
Kwanza utaratibu wa parking za barabarani uvunjwe ili njia ziwe pana, jiji waongee na nhc baadhi ya nyumba zao zivunjwe wajenge parking za ghorofa.
Au jiji wanunue nyumba mbovu mbovu katikati ya jiji wajenge parking za ghorofa.
Ukiondoa parking barabarani hata nyerere road inaweza kuwa na four lanes.
Kuna idea ya one way nitasketch mchoro nikiwa free niwatumie muone
 
well said... apo kwenye parking za ghorofa nimekuelewa sanaaaaaaaa big up....
 
View attachment 2343690
View attachment 2343692
Mwanza ni mji mkubwa sana lakini katika ili eneo la uokozi tumejisahau. hapa tunajenga majengo marefu sana ila viokozi kwenye majanga atuna na ni vichache vimechoka... viongozi ongezeni nguvu pia apa....
pia juzi juzi apo kulikua natukio la moto kwenya casino apo mwanza hotel.. nguvu ilikua kidogo..
tuachane na fire za airport..

USHAURI..
zianzishwe brach za jezi la uokozi BUHONGWA, IGOMA, NA city center itakua poa sana..........
i love tz i love mwanza...................................
Huwa una mawazo mazuri lakin viongozi wetu wako short sighted ,hawatazamagi mbali yaani ..nchi iko kithird world sana ..Hadi wapate majanga mazito ndo wajiongeze
 
umesema vyema sana izo barabara ni muhimu sana kwa mwanza na nilisha sema apa huu mji ni mkubwa njia mbili kwa sasa sio size yetu.. pia nyumba za milimani azina muonekano mzuri rasimisa jenga aparment humo.
Hypocritism ya watanzania na ignorance Ni factor kubwa ya hizo nyumba kuwepo hapo ...Kila maamuzi ya kuziondoa wanasiasa wanaingilia kati ..maybe serikali inatakiwa ifanye participatory approach linapokuja suala la kuhamisha watu ..juzi wawekezaji wamekuja lakin watu wameupiga kelele kweli
 
Hongera kaka kwa kutujuza.
Mimi huwa nasema kila siku mwanza itaendelea kuwa mji wa pili kwa ukubwa for ages, kuna watu huwa wanahofia dodoma lakini kiuhalisia dodoma bado sana.
Tatizo kubwa mwanza ni barabara, hata zinazojengwa nje ya CBD ziko cheap hazina njia za waenda kwa miguu yaani inapunguza mvuto wa barabara.
Nyumba za milimani nazo tatizo zinaharibu muonekano hasa pale kati, na ndio watu wengi huona hizo nyumba na kufikiria mza yote iko hivyo.
Eneo likichangamka kama nyegezi jiji wawe wananunua baadhi ya nyumba na kubadilisha matumizi, mfano wanavunja wanaplan malls au parking etc.
Bajeti ya sasa tuna kama 40km kama zikijengwa.
Njia ya shy na Musoma zikitanuliwa kuwa njia nne mji utapendeza sana.

Ushauri kwa viongozi wa mwanza, nawapa idea ya Chanzo kingine cha mapato.
Kama walivyo jenga stendi za mabasi basi wafanye hivyo kwenye usafiri wa maji, wajenge bandari maalumu kwa ajili ya meli, feri na boti, bandari ziwe zina maduka migahawa nk then wenye vyombo vya usafiri wawe wanatumia kwa kulipia kama ilivyo mabasi au ndege hakuna anayejenga airport yake. Biashara huria huwa ina mipaka yake vilevile.
Wazo zuri sana..natamani madiwani wetu wa mwanza wawe wanapitia huu uzi kujipatia mawazo mazuri kwaajili ya kuboresha jiji letu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Wazo zuri sana..natamani madiwani wetu wa mwanza wawe wanapitia huu uzi kujipatia mawazo mazuri kwaajili ya kuboresha jiji letu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kuhusu barabara,mi siwezi walaumu madiwan au mbunge ..nimemsikia Mara nyingi mbunge akiomba upanuzi wa barabara ya kenyata lakin majibu ya serikali ni feasibility study..
 
Kwa suala la ukubwa wa mji, hakuna mji utakuja kuitoa mwanza nafasi ya pili never ever. E bhana mji umepanuka vibaya mno.
Mkuu, usisahau tathmini yako kuhusu maeneo yaliyokuwa nje ya mji Kama Kisesa, Buswelu, Ilalila, Usagara, Kigongo

Maana binafsi nimetoka Mwanza 2013 wakati huo Mwanza inaishia Nyegezi, Igoma, Igogo, na Pasiansi.
 
Yaan .umetoka mwanza zamani sana dah........
 
Mkuu, usisahau tathmini yako kuhusu maeneo yaliyokuwa nje ya mji Kama Kisesa, Buswelu, Ilalila, Usagara, Kigongo

Maana binafsi nimetoka Mwanza 2013 wakati huo Mwanza inaishia Nyegezi, Igoma, Igogo, na Pasiansi.
Timeline ya maendeleo ya mwanza
2013 ujenzi wa nssf hotel na rock city mall ulianza
2014 upanuzi wa barabara ya Nyerere road njia tatu Hadi buzuruga ulianza.ghorofa nyingi ndefu zilijengwa mwaka huu
2015 ujenzi wa daraja la mabatini ulikamilika ,uwekaji wa taa za magari pale buzuruga, ujenzi wa barabara ya buzuruga pamoja na kufunguliwa Kwa jengo la biashara la buzuruga plaza na jengo la TFDA buzuruga,na kukamilika Kwa barabara ya butimba,na barabara ya malaika Beach.(ulikuwa Ni mwaka wa buzuruga)
2016 upanuzi wa airport ya mwanza na ujenzi wa control tower ulianza,na upanuzi wa barabara kutoka buzuruga Hadi mwatex , ujenzi wa jengo la BOT
2017 ujenzi wa barabara ya airport njia nne pamoja daraja la furahisha ulianza .uwekaji wa taa maeneo ya bwiru na pasiansi, barabara za katikati ya jiji zilijengwa kipind hiki
2018 uwekaji wa taa za kuvukia barabarani barabara zote ulikamilika,ujenzi wa cherezo na maandalizi ya ujenzi wa daraja la JPM ulianza.uwekezaji wa hospital ya tanzanite na hospital ya kamanga medics
2019 ujenzi wa jengo la abiria ulianza , ujenzi wa hospital ya wilaya ya nyamagana, ujenzi wa stendi ya nyamhongolo,na maandalizi ya ujenzi wa stendi ya nyegezi, ujenzi wa barabara ya sabasaba kiseke buswelu, barabara ya nyakato to buswelu, ujenzi wa soko kuu ulianza
2020 ujenzi wa ofisi za wilaya ya nyamagana mkolani , ujenzi wa ofisi za halmashauri ya ilemela, ujenzi wa hospital ya wilaya ya ilemela, kuongezeka Kwa Costa na route za magari kuongezeka , ukarabati wa meli ya mv Victoria
2021 kuanza ujenzi wa SGR , uwekezaji wa kivuko binafsi Cha mkombozi , usafiri wa speedy boats kwenda ukerewe.ujenzi wa Mradi mkubwa wa maji butimba
2022 mwendelezo wa miradi ya nyuma .ukiacha miradi binafsi sijaiona mradi Mpya wa serikali labda anuani za makazi
WEW ULIYEONDOKA 2013 HYO NI TATHMIN FUPI YA MAENDELEO YA MJI WA MWANZA ,sijaweka miradi ya wilayani huko Kwa sababu mingi siijui ko kama Kuna mingine nimeisahau wakuu wataongezea
 
TATHMIN YA UKUAJI MJI 2013 HADI 2022
2013 mji uliishia mkolani ilemela,igoma , buswelu center,.
2014 buhongwa,kahama, kiseke palikuwa Kwa kasi sana mji ulisogea huku
2015 ujenzi nyamhongolo ulishika kasi ,route ya kishiri buhongwa ilipafanya kishiri iwe suburbs ya mji ,
2016 kuanzishwa kwa ruti ya nyanshishi to kisesa na stendi ya nyashishi .kulipafanya nyashishi iwe suburbs ya ujenzi mwanza
2017 nyamhongolo ulianza kuungana na kisesa , buhongwa ikaungana na bulale,isebanda ,na lwanhima,
2018 mahina kati palikoma kuwa kijijini ,ikaanza kuunganisha mhandu ,machinjioni,na kakebe
2019 kahama ilianza kuelekea ilalila ikaungana na nyamadoke na nyamhongolo
2020 bugarika,kuja igelegele ,ipuli Hadi mahina alliance palikoma kuwa kijijini
2021 kisesa ilianza kukua kuelekea kishiri, kuelekea isangijo,na kuelekea Kona ya fela . Usagara ikaungana na mwanza kupitia nyangomango na nyanshishi
2022 kishiri inakua kuelekea kuungana na buhongwa, luchelele kumeanza kuchangamka .mkuyuni kupitia mahina relini ,kanyerere Hadi nyagurugru pameacha kuwa kijijini
MAENEO YANAYOKUA SANA MWANZA
1 kishiri 2 nyashishi 3 kisesa 4 nyamadoke 5 buhongwa 6 kiseke 7 Usagara 8 buswelu 9 kakebe 10 mahina kati
Note : si maeneo yote ya mwanza nayajua nimeweka experience yangu tu . unaruhusiwa kurekebisha
 
Back
Top Bottom