Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Mara nyingi mwisho nyota 5
Kwa ubora Huwa wanaanzia kupima nyota 3 inakuwa kidogo na vigezo international na business class au watalii ..
Mwanza Inayo mwisho 4.5 stars
nyota 3
Kingdom hotel,la kairo ,mwanza hotel, pigeon hotel, Victoria palace ,g.g hotel,adden palace,antelepo
Nyota 4
Ryan's bay,tilapia, gold crest,wag hill
Nyota 4.5
Malaika Beach resort
Nyota 5
NSSSF ujenzi unaendelea
Hahahaaa, umenifurahisha kwenye nne na nusu, yaani imebaki nusu tu kufika tano😃😃.

Nashukuru kwa elimu mkuu, Bhujiku ng'waka.
 
Nimefanya kazi kwenye hotel industry,
Classification ya hotel mara nyingi huangaliwa kwenye services na jengo.
Play ground za watoto hazimo kwenye kufanya hotel iwe five star, ukumbuke watoto huleta kelele mara nyingi watu wanaokaa Sehemu hizi hupenda utulivu.
Jengo lazima liwe state of the art, huduma nyingi zinatakiwa kuwa 24hrs mfano doorman, reception, room service etc, vyakula viwe International, security,
Kuna standard ya chumba kiweje, kuna vipimo mpaka vya mashuka, uwezo wa staff kuongea lugha nyingi kwa ufasaha na uchangamfu.
Vitu kama gym, jacuzzi, laundry conference halls etc.
Kiujumla vitu huwa almost ni vilevile ila tofauti kubwa ni quality za services.
Play ground ya watoto hata isipokuwepo haiathiri.
 
Katika vitu serikali wanazingua ni kujenga barabara ya airport igombe,kayenze,Hadi nyanguge au kisesa kwa Lami hii barabara ni muhimu sana aisee na ni ya kimkakati cjui kwann wanaichelewesha
 
1662478781849-01.jpeg
1662478754041-01.jpeg
1662478635814-01.jpeg
1662561509978-01.jpeg
 
Back
Top Bottom