Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,702
- 35,756
Raisi amesema serikali imeachana na mipango ya kuongeza maeneo ya kiutawala ....Wilaya mtapewa baada ya sensa ya watu na makazi na karibia kipindi Cha kampeni...maana ccm washatuonamo
Raisi amesema serikali imeachana na mipango ya kuongeza maeneo ya kiutawala ....Wilaya mtapewa baada ya sensa ya watu na makazi na karibia kipindi Cha kampeni...maana ccm washatuonamo
Ataongeza tu ..unaijua ccm unaisikiaRaisi amesema serikali imeachana na mipango ya kuongeza maeneo ya kiutawala ....
Aisee kama ndoto vile, subiri niwahi nichukue Kiwanja maeneo hayo.Hata kiuongozi, Ilemela kwasasa wako vizuri sana.
Mwaka Jana, Wizara ya fedha ilikopesha Halmashauri 55 ( Awamu ya kwanza ) ili zipime viwanja na kuuza kwa Wananchi.
Ilemela wanapima Nyafla na Sangabuye. Na hata ambao hatuko Mwanza wanatoa updates kila kitu.
Lakini Nyamagana wanapima Lwahnima lakini haijulikani hata wanafanya Nini. Wapo wapo tu!
Huu mtaa ganMansion
Imeisha hiyoooTaarifa kwa umma
Toa ushauri wako nini kifanyike..acha kusikitika.Miji yetu bado sana. Tuna safari ndefu!
Bado nnMiji yetu bado sana. Tuna safari ndefu!