Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,161
- 6,170
Ni kweli aisee, hata JPM bus terminal bei ni nafuu kuliko. Tusubirie labda OR-Tamisemi wanaweza litolea majibu au kubadilisha mambo kabisa.Nimesikia mahala kuwa stendi mpya ya Nyamhongolo kiingilio elf 1 iwe abilia ama anayesindikiza kuna ukweli katika hili?
