Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

_20220809_022820.JPG

Mwanza central-sgr station itakavyokuwa kama itajengwa
 
Hata kiuongozi, Ilemela kwasasa wako vizuri sana.

Mwaka Jana, Wizara ya fedha ilikopesha Halmashauri 55 ( Awamu ya kwanza ) ili zipime viwanja na kuuza kwa Wananchi.

Ilemela wanapima Nyafla na Sangabuye. Na hata ambao hatuko Mwanza wanatoa updates kila kitu.



Lakini Nyamagana wanapima Lwahnima lakini haijulikani hata wanafanya Nini. Wapo wapo tu!
Idara ya mawasiliano , nyamagana wako poor sana.ila Kuna miradi mingi ya viwanja na maendeleo nyamagana.kuliko hata ilemela
 
Back
Top Bottom