jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 21,691
- 41,849
Huwezi kuweka fly over kama Kuna magari machache ..., flyover zinawekwa strategically..Kama jiji la oslo Norway sema miundombinu na maflyover ndio vinatuangusha lakini Mwanza ina CBD kubwa sana na ya kupenda.
Mabay flyovers zipo proposed na wizara kwa jiji la Mwanza, imebaki utekelezaji tuHuwezi kuweka fly over kama Kuna magari machache ..., flyover zinawekwa strategically..
Sawa mkuu lkn wenzetu kenya wanafanya hivyo kwenye miji yao tena wanaweka nje ya miji kabisa wakilenga mbeleni kutakuwa na ongezeko la watu na magari tu, sisi adi tuone usumbufu mkubwa wa magari na watu ndio tunafanya, tuige mataifa ya watu huko.Huwezi kuweka fly over kama Kuna magari machache ..., flyover zinawekwa strategically..
Zipo proposed maeneo gani katika jiji la mwanza?Mabay flyovers zipo proposed na wizara kwa jiji la Mwanza, imebaki utekelezaji tu
Flyover inasemekana itakuwa junction ya pamba na kenyata .. na junction ya Nyerere road pale nata...Zipo proposed maeneo gani katika jiji la mwanza?
Pia Buzuruga/ Pasiansi junction.Flyover inasemekana itakuwa junction ya pamba na kenyata .. na junction ya Nyerere road pale nata...
Mkuu busenga ni wapi ? Vip viwanja vinapatikana mkuu nijipatie kaplot hukoBusenga ni kubwa kiongozi labda ni maeneo yapi unazungumzia maana mimi ni mkazi wa busenga ila kwangu hakujawahi kuwa na mafuriko
Hivi ni Busenga au Busega ya Simiyu!?Mkuu busenga ni wapi ? Vip viwanja vinapatikana mkuu nijipatie kaplot huko
Busenga ni kati ya Buswelu na Nyamhongolo, Busega ndio SimiyuHivi ni Busenga au Busega ya Simiyu!?
𝕹𝖆 𝖓𝖞𝖆𝖒𝖆𝖉𝖔𝖐𝖊?Busenga ni kati ya Buswelu na Nyamhongolo, Busega ndio Simiyu
Nyamadoke ni ndani zaidi Busenga ni imepakana na Nyakato, Igoma, Buswelu, Nyamadoke.𝕹𝖆 𝖓𝖞𝖆𝖒𝖆𝖉𝖔𝖐𝖊?
Yaani inashangaza Lwahnima, Bulale kunapigwa gap mpaka na kata za Ilemela Kama Ilalila, NyamadokeSina uhakika labda Mbunge wao sio msumbufu kwa wizara husika. Ilemela ni mpya lakini inakuja kasi sana kuliko Nyamagana.
Nyamagana wapo nyuma kwa kila kitu mpaka usimamizi wa miradi.
Wakati mkuu wa mkoa anakabidhiwa stendi ya Nyamhongolo aliwasifu watenndaji wa Ilemela na kuwaambia watu wa Jiji waje Ilemela wajifunze namna ya kusimamia miradi iishe kwa wakati.
Hata kiuongozi, Ilemela kwasasa wako vizuri sana.Angelina anaupiga mwingi, pia nadhani nguvu yake ya ushawishi kwenye serikali ya awamu ya tano na sita.