Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,310
- 5,968
Hivi haitazinduliwa?Taarifa kwa umma
Hivi haitazinduliwa?Taarifa kwa umma
Kweli pale panatakiwa pawe na kituo Cha daladala kwa sababu ya hiyo stand apo...Uwanja wa Nane Nane waumege waweke stand kubwa ya daladala kuelekea sehemu tofauti tofauti za Jiji kama ilivyo Magufuli bus terminal na Mbezi Luisi. Ikiwezekana na daraja la kuvukia la waenda kwa miguu, najua pakichanganya jam itakuwa kubwa tu.
Daraja litakuwepo kwenye upanuzi wa barabaraUwanja wa Nane Nane waumege waweke stand kubwa ya daladala kuelekea sehemu tofauti tofauti za Jiji kama ilivyo Magufuli bus terminal na Mbezi Luisi. Ikiwezekana na daraja la kuvukia la waenda kwa miguu, najua pakichanganya jam itakuwa kubwa tu.
Barabara ya muhimu sana hiiBarabara yetu Nyamhongolo via Nyamadoke to Mbogamboga ujenzi unategemewa kuanza mwezi wa tisa.
Ok! Safi sana!Ujenzi wa soko unaendelea walisimama kidogo, kazi inaendelea, pia mkandarasi huyu anajenga pia soko la mchafu koge.
Soko Gani tenaUjenzi wa soko unaendelea walisimama kidogo, kazi inaendelea, pia mkandarasi huyu anajenga pia soko la mchafu koge.
Machinga complex kampuni ya mohamed builder wanajenga hapo mchafu koge nazani kwa pesa za halmashauri ya Mwanza cc.Soko Gani tena
Sasa mbona Samia mlikuwa mnamponda kuhamisha machinga .na amefanya the bestMachinga complex kampuni ya mohamed builder wanajenga hapo mchafu koge nazani kwa pesa za halmashauri ya Mwanza cc.
Sijawahi kumponda mkuu🤣🤣🤣, alafu mimi huwa sipendi siasa mimi napenda Mwanza isonge mbele tu basi.Sasa mbona Samia mlikuwa mnamponda kuhamisha machinga .na amefanya the best
Ni jengo kubwa au vibanda?Machinga complex kampuni ya mohamed builder wanajenga hapo mchafu koge nazani kwa pesa za halmashauri ya Mwanza cc.
Kampuni kubwa ya ujenzi kama mohammed builders huwa hajengi vibanda mkuu.Ni jengo kubwa au vibanda?
Itakuwa ni nzuri lkn si kubwa kama Dodoma machinga complexItakuwa kama ya Dom
Wanafeli sana ..Nimesikia mahala kuwa stendi mpya ya Nyamhongolo kiingilio elf 1 iwe abilia ama anayesindikiza kuna ukweli katika hili?
Ni kweli pia wameweka na mashine za kuingilia bila risit huwez kupenya.Nimesikia mahala kuwa stendi mpya ya Nyamhongolo kiingilio elf 1 iwe abilia ama anayesindikiza kuna ukweli katika hili?