Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 7,242
- 8,117
Mkuu utakuwa haupo vizuri kwenye measurements😂😂, umbali kutoka ilipo stendi ya nyamhongolo kupitia nyamadoke adi buswelu round about ya kutokea kiseke sio umbali wa kitoto mkuu.Hv kutoka nyamhongolo hadi buswelu ni km 9 ,,,mbona umbali kama sielewi kwa sababu kutoka national hadi buswelu ni km 5 wakati national huwa napaona ni mbali kuliko nyamhongolo
Umbali kutoka stendi tu ya nyamhongolo adi mtaa wa barabara ya nyerere hapo nyamhongolo ni kama km 4 bado adi nyamadoke kufika buswelu ni kama 9.5km hivi mkuu.