NJIGO BOY
Member
- Dec 13, 2017
- 44
- 89
Mbona wanataka kuhamisha wakazi jirani na huo mlima ili kupisha ikuluIkulu s ipo Humo ndani kwenye mlima au wanajenga mpya?
Mbona wanataka kuhamisha wakazi jirani na huo mlima ili kupisha ikuluIkulu s ipo Humo ndani kwenye mlima au wanajenga mpya?
Tatizo siasa zimejazwa kwenye akili ya watanzania ..juzi wawekezaji wamekuja kuulizia lakini tumesikia kelele za watu ,hadi jiji wameghairi ..yaana ujinga ni kikwazo cha maendeleoInawezekana kwa kujenga majengo kama ya kapri point na uwekezaji wa mahotel
Nyamagana hata mimi huwa siwaelewi, hata miradi yao wakijenga ni ya kiwango cha chini labda iwe ya serikaliNyamagana sijua wanafeli wapi ,au geographical feature inawaangusha milima milima...yaan sioni project za ujenzi wa barabara ukilinganisha na ilemela ,,,,,,hadi mkuu wa mkoa aliwasifu ilemela wako vizuri na hati yao ya CAG iko poa ...
Barabara ya kwenda kanyerere kutokea mkuyuni ina watu wengi sana na inaunganisha hadi Nyakato , Igoma.lakini kuna vumbi na magari ya kule yanajaza hadi kero kwa sababu ya uchache unaosababishwa na ubovu wa barabara .
Mahina ni eneo kubwa sasa mjini kuna watu wengi lakini pametengwa kama sio mwanza ,kule ni shida tupu kuanzia barabara,huduma za umeme na maji kidogo sa hv ..
Luchelele nako kumetengwa hadi watu wanasema ile ni kigamboni ya mwanza
Kaka Barabara si zinajengwa maeneo yenye watu?Upigaji labda 😁 😁 😁 😁 kwa aridhi Ilemela bado ina maeneo makubwa sana yanayotoa nafasi kwa miradi mikubwa kufanyika kwa gharama nafuu na fidia ndogo. Naona Nyamagana ni kama imejaa. Kuweka miradi mikubwa mikubwa ya kitaasisi kama vyuo , mashule kupata aridhi kubwa kwa bei nafuu ni kitu kigumu sana tofauti na Ilemela.
Nimezipenda hizo taa design yake na zina mwanga Unaweza zima taa za gariKu
Kuna mwenye michoro ya Buzuruga commercial complex
Hiyo ya Airport wameanza kuweka taa na nguzo kwa ajili ya kusimikia taa zimefika iloganzala
Hili nalo wazo zuriDaraja la busisi likiisha vile vivuko walete huku
Tunaomba pichaNimezipenda hizo taa design yake na zina mwanga Unaweza zima taa za gari
Dah hii inasikitisha sana aiseeeTatizo siasa zimejazwa kwenye akili ya watanzania ..juzi wawekezaji wamekuja kuulizia lakini tumesikia kelele za watu ,hadi jiji wameghairi ..yaana ujinga ni kikwazo cha maendeleo
Wakati ukienda china wao wanawaondoa wananchi wao kwenye maeneo mabaya na kuwajengea nyumba nzuri ...sisi imekuja ofa ya kutolewa mlimani ukapewe kiwanja kizuri maybe nyanshishi na ulipwe na fidia bado watu hawataki ..
Mimi nikija kuwa meya au mkurugenzi kweli wangetoka nisingekubali
Huo mlima ni msitu umezungukwa na barabara, upande upi watahamishwaMbona wanataka kuhamisha wakazi jirani na huo mlima ili kupisha ikulu
Nilikuwa nasikia hizi nyumba zinazotazamana na na Shule Msingi Nyanza, na hizi Nyumba zinazotazamana na Nyakahoja Hostel. Kwa ule upande wa Sekou Toure kuna chuo na huu upande wa Nyakabungo kuna vinyumba nyumba nahisi ndio hao wataondolewa, ibakie mlima umezungukwa na barabara tu kwa pande zote.Huo mlima ni msitu umezungukwa na barabara, upande upi watahamishwa
Njia nne sio lazima liwepo tuta katikati, wanaweza tenganisha kwa kuchora msitari tu maeneo yaliyobana.Kuanzia mjini sehemu gani maana kuanzia Voil mpaka stendi ya igombe pamebana au watalipa fidia kwa majengo ya watu?
Wanajenga barabara ya kuingilia stendi, nafikiri hiyo sehemu nayo wstafunga traffic lights.Hivi kwa nini hadi leo hii stand ya nyamhongolo haija anza kuoperate huku imekamilika toka mwezi wa 3 kama sio 4 wadau?
Sio Lao limesharudishwa kwa mwenyewe.Ila mbona capri point wana eneo kubwa sana wana shindwa nn kuongeza jengo
Nilikuwa nashangaa sana RC Mwz alikuwa anaishi sehemu nzuri kuliko Ikulu ilipo japo ni karibia na ziwani. Pale Balewa Mlimani kwa Ikulu ni sehemu sahihi kabisa.
Hapa ndio nasema nyamagana wamezubaa, utalii sio wanyama tu hii milima ya mza tukijipanga ni utalii tosha. Kuna milima ina mawe yanavutia balaa si vizuri watu waachwe wajenge.Milima ina uoto wa asili
Ilitakiwa na milima mingine hususana pale town nayo ingekua kama huo wa balewa
upgrade lazima, ni suala la muda, wacha wamalize Kenyatta kwanzaHV Barabara ya nyerere haiko kwenye mpango wa upanuzi au ...au ndo mwisho njia 3 hadi Nyakato
Ndio shida ipo hapo, hata hawa ilemela tunaowasifia wamefeli kwa hili, yaani recreational Parks zetu tunawaza beach tu, kusingekuwa na ziwa ingekuwa je?Kitu kinachonikera.. mwanza hatuna park ,,ya halmashauri wamelala kabisa .jiji linakuwa la kizamani... wameshindwa kupaboresha garden ya Kamanga na round about ya kemondo pakawa city park....tunazidiwa na Dodoma kweli ..wakati mwanza tuna maeneo mazuri na yenye mandhari ya kuvutia kutengeneza parks...
Mradi wa Tampere park uko kwenye makaratasi tu ..hadi wapewe hela na wafinland .
Please we need park
Ila bomoabomoa itahusika piaWatabomoa ,au kujenga flyover au watafanya iwe njia tatu . nadhani fesability study itatoa majibu ya nn kifanyike ..ila bomoa bomoa haikwepeki