Vege
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 338
- 365
Zinaboa sana zile barabaraBarabara za mawe wazijenge huko milimani
Kwanza ni finyu
Zinaboa sana zile barabaraBarabara za mawe wazijenge huko milimani
Ikulu imehamia mlima wa Balewa kwenye ule msitu, alipopkuwa anaishi Mkuu wa Mkoa. Mkuu wa Mkoa kajengewa Nyuma ya Kanisa la KKKT Makongoro, njia ya kwenda Isamilo. Pale Capri point pamerudishwa kwa wenyewe. Labda kama mipango ilibadilishwa.Pale kwenye ule msitu?
Yawezekana
Ahaa hapo sawaIkulu imehamia mlima wa Balewa kwenye ule msitu, alipopkuwa anaishi Mkuu wa Mkoa. Mkuu wa Mkoa kajengewa Nyuma ya Kanisa la KKKT Makongoro, njia ya kwenda Isamilo. Pale Capri point pamerudishwa kwa wenyewe. Labda kama mipango ilibadilishwa.
Mimi nilikuelewaNdio nilikuwa namuelekeza Ngokongosha alikuwa anachanganya barabara ya Buswelu/Busenga-Cocacola na Buswelu - Nyakato,
Nilikuwa nashangaa sana RC Mwz alikuwa anaishi sehemu nzuri kuliko Ikulu ilipo japo ni karibia na ziwani. Pale Balewa Mlimani kwa Ikulu ni sehemu sahihi kabisa.Ahaa hapo sawa
Milima ina uoto wa asiliNilikuwa nashangaa sana RC Mwz alikuwa anaishi sehemu nzuri kuliko Ikulu ilipo japo ni karibia na ziwani. Pale Balewa Mlimani kwa Ikulu ni sehemu sahihi kabisa.
Barabara hainyooki, ila hata ikinyooka Nyamhongolo buswelu ni mbali kuliko national busweluHv kutoka nyamhongolo hadi buswelu ni km 9 ,,,mbona umbali kama sielewi kwa sababu kutoka national hadi buswelu ni km 5 wakati national huwa napaona ni mbali kuliko nyamhongolo
Ingependeza sana kuanzia mlima wa igogo isamilo ,bugando mabatini pangependeza sanaMilima ina uoto wa asili
Ilitakiwa na milima mingine hususana pale town nayo ingekua kama huo wa balewa
Nafikiri ndio hiyo insyoelekea kayenze cna uhakika sanaOky ..hvi ile lami inayojengwa kutoka round about ya halmashauri kupita kahama inaishia maeneo gani.maana nataka ninunue kiwanja maeneo ya huko
Inaenda mpaka kayenze mkuu na ndo njia rasmi hiyoNafikiri ndio hiyo insyoelekea kayenze cna uhakika sana
Mipango mji walifeliIngependeza sana kuanzia mlima wa igogo isamilo ,bugando mabatini pangependeza sana
Daraja la busisi likiisha vile vivuko walete hukuLami ikikamilika litakuwa bonge la shortcut kuelekea Ukerewa kwa kivuko. Pale nasikia muda ni mfupi sana hata bei pia ni nafuu kuliko mtu akitokea Kirumba au Mwanza North port. Nilimsikia Angelina alikuwa anapiganisha kipatikane kivuko cha pili kisaidiane na MV. Ilemela kuvusha abiria na magari. Igombe -Bezi kisiwani - Nansio.
View attachment 2272482
Inawezekana kwa kujenga majengo kama ya kapri point na uwekezaji wa mahotelMipango mji walifeli
But hata kwa saiv walikuwa wanaweza kuzipaka hata rangi za aina moja zile nyumbani za mlimani pangevutia kidogo
Watabomoa ,au kujenga flyover au watafanya iwe njia tatu . nadhani fesability study itatoa majibu ya nn kifanyike ..ila bomoa bomoa haikwepekiKuanzia mjini sehemu gani maana kuanzia Voil mpaka stendi ya igombe pamebana au watalipa fidia kwa majengo ya watu?
Si ndo mpango umesitishwa timing ilikua mbaya na huu upepo wa loliondoInawezekana kwa kujenga majengo kama ya kapri point na uwekezaji wa mahotel
Ikulu s ipo Humo ndani kwenye mlima au wanajenga mpya?Hivi maeneo ya barabara ya balewa karibu na Nyakahoja primary nasikia wanataka kujenga ikulu hayo maeneo?
Oooh tusubiri tuSi ndo mpango umesitishwa timing ilikua mbaya na huu upepo wa loliondo