Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Vitendo vinaongea kuliko maneno .. waulize wao ile mall yao imejaa
Hizo Mall zao zina serve foreigners na wazawa wachache wenye mawe, hawa wenzetu wakiingia wanaishia kununua ice cream na sausage 😀 😀
 
Hizo Mall zao zina serve foreigners na wazawa wachache wenye mawe, hawa wenzetu wakiingia wanaishia kununua ice cream na sausage 😀 😀
Arusha wana aim mall na ni ndogo kuliko rock city .na haijajaa ,,
Shopping mall iliyo biashara active zaid ni mlimani city
Zingine hata za dar bado
 
picha ya mwisho unaruhusiwa kuizoom kwa faida ya macho yako
2021-12-30.jpg
2022-02-20.jpg
2022-06-11.jpg
2022-03-12 (1).jpg
2022-03-12.jpg
2021-10-02.jpg
 
Huu mradi utaanza lini coz muda umepita naona utekelezaji bado, mkuu naona utupe progress ya huu mradi.
 
S

Sijajua kinachoendelea Boss, labda financing ndio issue kubwa. Kwa sababu wanategemea loans ku run hiyo project.
Nadhani ishu ni bureaucratic process za serikalini na ardhi ikiwa na migogoro ...but soon tutapata updates....
 
S

Sijajua kinachoendelea Boss, labda financing ndio issue kubwa. Kwa sababu wanategemea loans ku run hiyo project.
Niliwauliza kupitia email yao, wanasema kilichokwamisha ni kuhamisha watu. Kuna wengine waligoma kuhama na waligoma pesa ya fidia waliyopewa.
Kesi mahakamani walishinda kwa sasa wanaendelea kulipa fidia.
Mradi utaanza mwezi Disemba baada ya kukamilisha ulipaji wa fidia.
 
Hv kwann wasiongee naa ilemela wapewe buzuruga pale
 
Back
Top Bottom