Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,741
- 218,332
WOTE TUKO NCHI HIIHapa ni pale walipokuwa wanabomoa mabanda yao kwenye maeneo yaliyokatazwa.
Sikufurahishwa na Wamachinga kuzagaa kila mahali, lakini kilio chao kimenisikitisha sana, Viongozi waliowatapeli hawa watu na kuwaweka kwenye maeneo hatarishi hadi wakajisahau namna hii walaaniwe haraka.
Kwani walitokea wapi mpaka wakafika hapo?Hapa ni pale walipokuwa wanabomoa mabanda yao kwenye maeneo yaliyokatazwa.
Sikufurahishwa na Wamachinga kuzagaa kila mahali, lakini kilio chao kimenisikitisha sana, Viongozi waliowatapeli hawa watu na kuwaweka kwenye maeneo hatarishi hadi wakajisahau namna hii walaaniwe haraka.
Wale wahindi wenye temple zao pale makoroboi hawawapendi machinga wapange ule mtaaMakoroboi si kama kariakoo. Wangewaacha tu hao wa makoroboi. Hakuna barabara za waenda kwa miguu hapo.
Shida mipango miji mremboooMakoroboi si kama kariakoo. Wangewaacha tu hao wa makoroboi. Hakuna barabara za waenda kwa miguu hapo.
True kama sio barabarani pale nyerere road hawa wa njia ile ya uchochoro makoroboi wangewaacha.Makoroboi si kama kariakoo. Wangewaacha tu hao wa makoroboi. Hakuna barabara za waenda kwa miguu hapo.
Huwa hueleweki mara wanachafua miji na leo unawatetea! Ndivyo mlivyo kila kitu pinga pingaHapa ni pale walipokuwa wanabomoa mabanda yao kwenye maeneo yaliyokatazwa.
Sikufurahishwa na Wamachinga kuzagaa kila mahali, lakini kilio chao kimenisikitisha sana, Viongozi waliowatapeli hawa watu na kuwaweka kwenye maeneo hatarishi hadi wakajisahau namna hii walaaniwe haraka.
Muwakome wapinzani, mnawalipa mshahara kwani? Wale waliojazana bungeni na wanalipwa kwa kodi yako wamekusaidieni nini mpaka sasa!?Hivi vyama vya upinzani viko wapi kwenye hii issue?? hapo ndio unagundua upinzani wa bongo ni zero kabisa. Sasa mpaka wamsubiri huyo mkimbizi wao alieko belgium aone kwa video ndio halafu aombe interview bbc au deutsche welle. Upinzani bongo mavi kabisa na hautashika dola milele, maana issue ya wamachinga ingewajazia kura...
Imekuuma ehh?we c ndo ccm kindakindaki sasa kula jeuri yakooo..wakt wanapitisha wabunge wote wa ccm mlisheherkea hadi na ng'ombe zikachichwaa....majina yote mabaya mkawapa wapinzani..sasa leo limekufika mmachinga mmoja ww unaanza kuuona umuhimu wa upinzanii...unataka hizo kelele waje kupigia kibarazan kwako?pambanana hali yakoHivi vyama vya upinzani viko wapi kwenye hii issue?? hapo ndio unagundua upinzani wa bongo ni zero kabisa. Sasa mpaka wamsubiri huyo mkimbizi wao alieko belgium aone kwa video ndio halafu aombe interview bbc au deutsche welle. Upinzani bongo mavi kabisa na hautashika dola milele, maana issue ya wamachinga ingewajazia kura...
Kasema amesikitishwa na vilio vyaoHuwa hueleweki mara wanachafua miji na leo unawatetea! Ndivyo mlivyo kila kitu pinga pinga
Wamachinga ni wabishi, walilemazwa na Magufuli msigina katiba. Aliwaruhusu kuzagaa mijini kinyume na sheria za mipango miji. Samia alieleza waondoke maeneo yasiyo ruhusiwa, mpaka leo mikoani hawajahama.Hapa ni pale walipokuwa wanabomoa mabanda yao kwenye maeneo yaliyokatazwa.