Mwanza: Askari wa JWTZ Ashushiwa Kichapo na Askari Polisi

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
2,882
Reaction score
7,916
Alikuwa ndani ya bajaji kama abiria, mbele bajaji ikasimamishwa na polisi kwa ukaguzi, askari wa JWTZ (jeshi namba 6 kwa ubora duniani) akashuka na sare zake akawa anamwamrisha polisi awaachie, polisi akagoma yule mwamba wa JWTZ akamsukuma polisi hadi akaanguka.

Baada ya kuinuka alimtembezea kichapo cha kufa mtu, mwanajeshi akaona isiwe kesi akaomba msaada dereva wa bajaji akaamulia jamaa damu puani, analia kabisa.

Sema wananchi ni wasengè sana wakawa wanacheka na kushangilia badala ya kuamua ugomvi.

Jana Kisesa tumeshuhudia show murua sana.

Ushauri: Wanajeshi waongezewe uwezo wa kujihami maana mshikaji kapigwa ngumi, kapigwa mateke kuna buti moja alirukiwa la puani nikajua anakufa.

Wito: Jeshi la polisi limkamate askari wake kwa kumpiga mwanajeshi wetu, lisije kukanusha habari hii na kuiita ni chai.
images (2).jpeg
 
Alikuwa ndani ya bajaji kama abiria, mbele bajaji ikasimamishwa na polisi kwa ukaguzi, askari wa JWTZ akashuka na sare zake akawa anamwamrisha polisi awaachie, polisi akagoma yule mwamba wa JWTZ akamsukuma polisi hadi akaanguka.

Nimefurahi kusikia kuwa wanajeshi wanapelekewa moto na polisi mtindio mmoja.
 
Kumbe Huwa ni uongo kuwa mwanajeshi mmoja ni sawa na polisi miambili(200)kiuwezo wa kila kitu?
Kwahiyo mwanangu kwa hali ya kawaida tu ulikuwa ukiamini hizo kauli? Kwa kawaida ukiachana na mtu mwenye silaha, mtu mmoja Huwa na uwezo wa kupigana na mtu mmoja mwenye uzito na uwezo wa kimapigano unaofanana. Hizo za mtu mmoja kupigana na watu wengi na akashinda ni porojo za holywood
 
Alikuwa ndani ya bajaji kama abiria, mbele bajaji ikasimamishwa na polisi kwa ukaguzi, askari wa JWTZ akashuka na sare zake akawa anamwamrisha polisi awaachie, polisi akagoma yule mwamba wa JWTZ akamsukuma polisi hadi akaanguka.

Baada ya kuinuka alimtembezea kichapo cha kufa mtu, mwanajeshi akaona isiwe kesi akaomba msaada dereva wa bajaji akaamulia jamaa damu puani, analia kabisa.

Sema wananchi ni wasengè sana wakawa wanacheka na kushangilia badala ya kuamua ugomvi.

Jana Kisesa tumeshuhudia show murua sana.

Ushauri: Wanajeshi waongezewe uwezo wa kujihami maana mshikaji kapigwa ngumi, kapigwa mateke kuna buti moja alirukiwa la puani nikajua anakufa.

Wito: Jeshi la polisi limkamate askari wake kwa kumpiga mwanajeshi wetu, lisije kukanusha habari hii na kuiita ni chai.

Unawaamua wa Nini?
 
Back
Top Bottom