Mwanza: Askari wa JWTZ Ashushiwa Kichapo na Askari Polisi

Nilivyoona tu wanajichanganya NAO.nikajua shughuli ishaisha.
Kwisha habari yao.
JWINGA anakaa na polisi.
 
Ndo hayo tunasema kila siku jeshini waingie watu wenye hali na moyo 😂😂 mtu anapeleka mwanae kwa kuhonga honga
 
Alikuwa ndani ya bajaji kama abiria, mbele bajaji ikasimamishwa na polisi kwa ukaguzi, askari wa JWTZ akashuka na sare zake akawa anamwamrisha polisi awaachie, polisi akagoma yule mwamba wa JWTZ akamsukuma polisi hadi akaanguka.

Baada ya kuinuka alimtembezea kichapo cha kufa mtu, mwanajeshi akaona isiwe kesi akaomba msaada dereva wa bajaji akaamulia jamaa damu puani, analia kabisa.

Sema wananchi ni wasengè sana wakawa wanacheka na kushangilia badala ya kuamua ugomvi.

Jana Kisesa tumeshuhudia show murua sana.

Ushauri: Wanajeshi waongezewe uwezo wa kujihami maana mshikaji kapigwa ngumi, kapigwa mateke kuna buti moja alirukiwa la puani nikajua anakufa.

Wito: Jeshi la polisi limkamate askari wake kwa kumpiga mwanajeshi wetu, lisije kukanusha habari hii na kuiita ni chai.View attachment 3519424
porojo zingine bana dah :pedroP:
 
Ukiona milio mingi, ujue kuna watu wamebanwa, Vyombo vyetu mwendo ni huo huo, watakapolala mnaamkia hapo hapo. Wakiona hawapati fursa ya kufanya uhalifu, wanaropoka tu mitandaoni siku hizi. Hii siyo Nepal wala Madagascar, Mtu akitoa kichwa ni kumtuliza mapema tu.
 
Alikuwa ndani ya bajaji kama abiria, mbele bajaji ikasimamishwa na polisi kwa ukaguzi, askari wa JWTZ akashuka na sare zake akawa anamwamrisha polisi awaachie, polisi akagoma yule mwamba wa JWTZ akamsukuma polisi hadi akaanguka.

Baada ya kuinuka alimtembezea kichapo cha kufa mtu, mwanajeshi akaona isiwe kesi akaomba msaada dereva wa bajaji akaamulia jamaa damu puani, analia kabisa.

Sema wananchi ni wasengè sana wakawa wanacheka na kushangilia badala ya kuamua ugomvi.

Jana Kisesa tumeshuhudia show murua sana.

Ushauri: Wanajeshi waongezewe uwezo wa kujihami maana mshikaji kapigwa ngumi, kapigwa mateke kuna buti moja alirukiwa la puani nikajua anakufa.

Wito: Jeshi la polisi limkamate askari wake kwa kumpiga mwanajeshi wetu, lisije kukanusha habari hii na kuiita ni chai.View attachment 3519424
Siku hizi baba kanituma hakuna kitu.i kuna mmoja nilikimbiza na ile stiki ya pool table ana bahati alunizidi mbio
 
Alikuwa ndani ya bajaji kama abiria, mbele bajaji ikasimamishwa na polisi kwa ukaguzi, askari wa JWTZ akashuka na sare zake akawa anamwamrisha polisi awaachie, polisi akagoma yule mwamba wa JWTZ akamsukuma polisi hadi akaanguka.

Baada ya kuinuka alimtembezea kichapo cha kufa mtu, mwanajeshi akaona isiwe kesi akaomba msaada dereva wa bajaji akaamulia jamaa damu puani, analia kabisa.

Sema wananchi ni wasengè sana wakawa wanacheka na kushangilia badala ya kuamua ugomvi.

Jana Kisesa tumeshuhudia show murua sana.

Ushauri: Wanajeshi waongezewe uwezo wa kujihami maana mshikaji kapigwa ngumi, kapigwa mateke kuna buti moja alirukiwa la puani nikajua anakufa.

Wito: Jeshi la polisi limkamate askari wake kwa kumpiga mwanajeshi wetu, lisije kukanusha habari hii na kuiita ni chai.View attachment 3519424
Huyo atakuwa JW mdebwedo
 
Hii mbona mwanza Huwa inatokea mara NYINGI SANA ni kawaida mwanajeshi kichapwa WATU wanashinda makambini hawana mshike mshike
 
Alikuwa ndani ya bajaji kama abiria, mbele bajaji ikasimamishwa na polisi kwa ukaguzi, askari wa JWTZ akashuka na sare zake akawa anamwamrisha polisi awaachie, polisi akagoma yule mwamba wa JWTZ akamsukuma polisi hadi akaanguka.

Baada ya kuinuka alimtembezea kichapo cha kufa mtu, mwanajeshi akaona isiwe kesi akaomba msaada dereva wa bajaji akaamulia jamaa damu puani, analia kabisa.

Sema wananchi ni wasengè sana wakawa wanacheka na kushangilia badala ya kuamua ugomvi.

Jana Kisesa tumeshuhudia show murua sana.

Ushauri: Wanajeshi waongezewe uwezo wa kujihami maana mshikaji kapigwa ngumi, kapigwa mateke kuna buti moja alirukiwa la puani nikajua anakufa.

Wito: Jeshi la polisi limkamate askari wake kwa kumpiga mwanajeshi wetu, lisije kukanusha habari hii na kuiita ni chai.View attachment 3519424
Namlaumu polisi, kwanini hakumtoboa jicho moja huyo mvaa nguo za mabakamabaka? Hao wajeda wataanza kupigwa mpaka na wakina mama, ile uoga wao wa kumuogopa Abdul ndipo kila mja ameshawajua kuwa hawana lolote.
 
Tiger Mafia.
kokoto...webp
 
Back
Top Bottom