Lizzy we ni mzuri hivyo hivyo tembea maziwa ooops kifua mbele lol!Haya tusio na mwanya ndo tunatengwa hivyo.
Kesho kutwa miguu nayo itasemewa...na mikono...na kiuno.Tusio navyo vyote tulie tu!:disapointed:
Lizzy we ni mzuri hivyo hivyo tembea maziwa ooops kifua mbele lol!Haya tusio na mwanya ndo tunatengwa hivyo.
Kesho kutwa miguu nayo itasemewa...na mikono...na kiuno.Tusio navyo vyote tulie tu!:disapointed:
Akiwa na dimples na nyama kidogo kati ya kidevu na koo mi napagawa.
Aisee WOS mimi naonekana meno tu.Kuna watakaokuambia hii ni kero na wanafanya mazoezi kuondoa au hata operation kabisa. Hivyo ndio tujue kuna individual preferences jamani.
Bottomline - nobody can say kuna kipimo standard cha uzuri.Kila binadamu ni mzuri kwa jinsi alivyoumbwa na mola wake.Majadiliano ya kuponda maumbile ya watu iwe ni mitaani au kwingineko huweza kuwafanya watu wakakosa confidence.Kumbe basi inapotokea kwamba watu wanaongelea kwa namna chanya basi hupandisha kujiamini na hii imejidhihirisha hapa.Tunaona wengi wakifurahi kuona kumbe mwanya ni kitu kizuri!
Hongera Mbu kwa ku boost confidence za watu.Ingependeza ukaanzisha mada kama hizi ili tujadili more appreciatively, mathalani uzuri wa watu tipwa tipwa, weusi tii, wembamba sana, warefu, wafupi, wenye miguu myembamba nk.
Mbu wengine wana mwanya utadhani mapengo
Mbu wengine wana mwanya utadhani mapengo
BAK nadhani hujamuelewa Big Lady ana maana wengine wana mwanya mkubwa sana kama nafasi ya kutosha kuwepo meno moja.Mhhhh! Kwa maoni yangu mwanya haufanani kabisa na pengo. Ni rahisi mno kutofautisha mwenye pengo na mwenye mwanya. Mwanya haupotei hata siku moja ukiuona tu unaujua huu ni mwanya na kama ni pengo basi pia utalijua hili ni pengo.
acha uongo.mambo ya mianya....ni ma heart breaker tu...
Haya tusio na mwanya ndo tunatengwa hivyo.
Kesho kutwa miguu nayo itasemewa...na mikono...na kiuno.Tusio navyo vyote tulie tu!:disapointed:
Hahahaha! hujambo heartbreaker lol!acha uongo.
Aisee huyo heartbreaker kweli kweli l.o.lHahahaha! hujambo heartbreaker lol!
Hahahaha! hujambo heartbreaker lol!
Aisee huyo heartbreaker kweli kweli l.o.l
Sio flagi mupenzi ni 'like',nikihesabu uliowaalika Mpwapwa hapa JF pekee hata foleni ya Babu afadhali kwi kwi kwi !mmh! Hebu delete hilo flagi niitikie.
husninyo,mbna wagogo hua manao mkubwa sana wa kufoji,hua ni pengo,sasa cjui imekaaje iyo
Si unajua wa kwangu ulivyo delicatemamoyo yote yavunjwe ila sio wa Tf.
Sio flagi mupenzi ni 'like',nikihesabu uliowaalika Mpwapwa hapa JF pekee hata foleni ya Babu afadhali kwi kwi kwi !
Yanini malumbano ...najiweka pembeni ... alafu umeusikia huu wimbo mpya wa Ney wamitego 'nimekuzoea baby' ?mamoyo yote yavunjwe ila sio wa Tf.