Mwanshangaza wadada wa jf

mtagegedwa mpaka mkome na mtaliwa mpaka 0713

vipi mbona hasira hivo. 0713 aliwe mwingine we mipovu ikutoke majangaaaaa. kama huna madolari we jiendee fb huko utakutanao wa size yako kwi kwi kwi
 
Nimekua nikifuatilia post zenu akina dada wa humu Jf. Nataka mchumba, na details zenu zinaonyesha kuwa ni vifaa vya ukweli. Swali langu ina maana huko mtaani hamuonekani?

ha ha ha ha ha ha! mkuu unaharibu mingo za watu! avatar zinavyovutia sasa kutana naye utakimbia!
 
Sasa wa humu utamjuaje kwamba anazo? Avatar haziwezi kukueleza kitu......

Mie binafsi siangalii avatar hata siku moja.
Nazama nae PM nikiona anaelekea.........naibuka nae, BTW nikiona longolongo naachana nae humo humo PM kabla hatujaonana uraiani.
 
Kumbe humu ukiwa BENKI kama mimi unawabeba wengi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hahahahaaaaaa JF raha kama sijaingia humu naumwaga yaani.
 

mmh kunani hapa
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahahahahahaaaaaaa angalia usije ukamtongoza demu wako kwa mara ya pili
 
Mie binafsi siangalii avatar hata siku moja.
Nazama nae PM nikiona anaelekea.........naibuka nae, BTW nikiona longolongo naachana nae humo humo PM kabla hatujaonana uraiani.

Yaani nimecheka sana hapo kwenye red.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…