Mwanshangaza wadada wa jf

huyu mtoa mada nae,cjui yupo karne gani?
Au hujui tushahamia digitali?
 
Preta, windowXP na Mrembo by Nature hebu someni hii maneno hapa...
Nitajitolea kuwafungulia akaunti fesibuku na twita ili muende sawa na huyu pedeshee...hahahah

Hahahahahahha JF kuna wanaume au waharibifu wa mazingira ??? kweli vimeo vimejaa humu kama mtu anawaza ndoa kwa humu JF heri abadili msimamo tu aanze kuangaza mtaani kwao na kanisani. Wachache sana wanajiheshimu humu na wa kupeleka wadada kwenye next level ya uhusiano
 
Nimekua nikifuatilia post zenu akina dada wa humu Jf. Nataka mchumba, na details zenu zinaonyesha kuwa ni vifaa vya ukweli. Swali langu ina maana huko mtaani hamuonekani?
Hawajazoea uhalisia wamezoea maisha ya kuzinguana na wala siyo kama unavyofikiria wote waliomo humu wapo katika Two Identity....Ukija kwenye *(Ubaya) Wapo wabaya,Ukija kwenye Tabia Wapo wenye tabia chafu,Ukija kwenye busara Wapo hata busara za mlevi hawana!! kwenye *(Uzuri)Ukija kwenye sura wapo wazuri,Ukija kwenye tabia wapo wenye tabia nzuri,ukija kwenye Busara kuna waliobarikiwa kama wahubiri wa maneno ya mungu!,
Kifubi JF ni jalala na nichuo kila kitu hapa ukitaka kuwazingua na wao wanakuzingua!Yani ogopa mwanamke anajua JF utalala hoi inabidi na wewe uwe MuJF!
 
mhm tokeni zenu hamna cha choice wala nini semwni market value yenu ipo chini....mikoa tofahti mapenzi ya mbali tangu lini yakadumu?

yanadumu ni wewe tu. cha muhimu mkishaanza serious ukaribu utapatikana.
 
Tuko busy na kutafuta shilingi .

Mtandao Ndo mpango mzima .
Muda waku randa randa mitaani sina .
 
mmmh wa mtaani wa nini sasa humu kwanza wasomi wengi tuu sana sasa mtu wa mtaani aanze kuleta skendo za mtaani huku hata hatufahamiani kwanza nahisi uliyeleta huu uzi ni mmmmh
 
Nimekua nikifuatilia post zenu akina dada wa humu Jf. Nataka mchumba, na details zenu zinaonyesha kuwa ni vifaa vya ukweli. Swali langu ina maana huko mtaani hamuonekani?

mbona nyie kutwa mnaweka matangazo ya kutaka wake
mara wawe walokole,mara awe mrefu kwenda juu
 

haahaha umesema kweli.
jf men looking for punani to gegeda
jf women looking for men to chuna.
 
Wa humu hanijui kiundani hivo ni rahisi kumzingua............
Btw wa Mtaani ananijua vizuri hivo sitaweza kumfanyia mandingo labda nimletee ukauzu.
Sasa wa humu utamjuaje kwamba anazo? Avatar haziwezi kukueleza kitu......
 

hahaaa mdau umwnichekeshaje hapa......

taarifa hii imfikie mleta mada kokote aliko
 
Wengi wao Walishaachika na wengine wameshindikana ktk ndoa zao! Jihadhari nao!
 

mtagegedwa mpaka mkome na mtaliwa mpaka 0713
 
Last edited by a moderator:
Jf for life....... Long live jf mmu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…