Melezo yangu yansema sijawahi kuwa CCM kwa hiari,ningepewa UHIARI wa kuamua kuwa au kutokuwa CCM ningechagua kutokuwa CCM.
Inabidi utumia akili zaidi,uhiari kwenye chama chochote cha siasa ndiyo inayompa mtu HAKI za kuitwa chama hicho.SIkuwahi kupewa option ya kuchagua na sababu ilikuwa lzaima ufanye ili UAJIRIWE na Uende shule,usipotaka kuwa maana option zote mbili unazikosa za kuajiriwa na kwenda shule,sasa utanilazimishaje nilikuwa CCM,labda useme nililazimishwa kuwa mwanachama wa CCM.
Na mwaka 1992 baada ya kutangaza vyama vingi nilichoma kabisa uwepo wowote wa UCCM ,kadi,katiba za Tanu na CCM,hivyo sikutaka tena kuwa mwanachama yeyeote wa chama cha siasa niliamua kuwa huru,bila kumtumikia yeyote,hata cham cha wafanyakazi nilijitoa sikutaka kuwa mwanachama wa chama chochote kilichokuwa chini ya serikali,sababu sikutaka kukatwa mshahara yangu kwa lazima.
Niliamua kuingia vyama vya siasa 2012,baada ya kuona sera ya chama kinachonipendeza,hivyo nilichoingia sasa ndiyo HIARI yangu na HAKI yangu iliponituma.
Kama JKN angekuwa ametoa UHURU wa kuwa au kutokuwa mwanaCCM najua wengi wangeopt kutokuwa mwanaCCM.Mumalaumu JKN kwa kulazimisha watu kuwa hivyo,ndiyo maana wengi wanaogopa hata kutoka huko wakidhani watakuwa wamekosa kosa la jinai.Na wengi wanadhani kwa kubaki huko wanamuenzi mwalimu.
Pole sana bado nitasema kwa SAUTI na UHURU kabisa sijawahi kuwa MWANACCM kwa HIARI yangu hivyo sikuwa mwanaCCM..
Ndugu yangu HIARI YASHINDA UTUMWA............Tulikuwa WATUMWA wa CCM,bila hiari huwezi kusema huyu alikuwa wangu.Kama nilikuwa mwanaCCM kwanini nichome kadi?