MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,513
"Mwaka huu ni mwaka mgumu kwetu, wala tusifanye mchezo, inabidi tujibu mapigo kwani yatakuja… watatuuliza na wataendelea kutupiga tu kuhusu Epa, wataendelea kutupiga kuhusu Richmond, wataendelea kutupiga mapigo kuhusu Escrow na liko lingine linakuja la kutupiga kuhusu Vodacom," alisema Profesa Mwandosya.
Alisema kuwa katika safari yake ya kusaka wadhamini kwenye mikoa yote 15 aliyopita, amebaini kuwa kilio kikubwa cha wananchi ni ufisadi na rushwa, hivyo ili kumpata rais atakayekidhi mahitaji ya Watanzania wengi, lazima achaguliwe yule anayeichukia rushwa.:A S 112: