Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,422
ila basi ulikua na Kadi ya UVCCM
Kwa ulazima utafanya nini na wewe unataka shule,lakini baada ya kuondoa ulazima na kuweka uhiari sikusubiri kampeni meneja nilizichoma moto zote...........
Hivi wajua siasa tulikuwa tukikaririshwa mawaziri na wakuu wa mikoa?Hivyo hakuna mtu aliyeingia CCM kwa HIARI wote waliingia kwa lazima.Hata mfanya biashara ulikuwa huwezi kuwa na biashara kama si mwanachama,sasa HAKIyake iko wapi?
Hivyo hata kuwa nayo ilikuwa ipi sababu ilitakiwa kuwepo na uwepo wake ilikuwa inakaa tu kwa vitabu vya shule full stop.Leo natembe very proud na kadi ya chama nikipendacho...........Na ukiniuliza kwa mara ya kwanza lini ulikuwa mwanachama wa chama cha siasa nitakwambia 2013 baada ya kuamua kwa hiari yangu kuwa mwanachama wa chama cha siasa bila kulazimishwa.
Nilienda mwenyewe nikatafuta ofisi nikapata na kipo sambamba na kadi yangu ya kupigia kura,passport yangu na ID yangu vyote natembea navyo,sababu ninajivunia UHURU wangu wakuchagua nikipendacho.
CCM kwangu ni kama MA-I-TI huwezi kuwa mwanachama wa MA-I-TI