Waziri wa maji mh. Mark Mwandosya amerudi tena nchini india kulikoni, serikali mpaka leo ipo kimya juu ya ungonjwa wake tatizo liko wapi? na Dr. Mwakyembe nae hajaenda ofisini hadi leo japo alichungulia ofisi siku moja?
Source majira ya leo
Kwa ukaribu wake na JK?......Sidhani
Kwani hii picha ya mwaka gani?chartered jet,..hela yao wanairudisha sasa hivi,.especially huu muhula wa mwisho.
Waziri wa maji mh. Mark Mwandosya amerudi tena nchini india kulikoni, serikali mpaka leo ipo kimya juu ya ungonjwa wake tatizo liko wapi? na Dr. Mwakyembe nae hajaenda ofisini hadi leo japo alichungulia ofisi siku moja?
Source majira ya leo
Mbona huwa nasikia JK alimpa Mwandosya uwaziri kwa shinikizo?
Mimi siyo DR. lakini kwa kuona hali ya mh. Mwandosya na namna ambavyo watu hawa wawili walivyokuwa wanapenda kufanya kazi naomba niseme watanzania tuwaombee wenzetu kwa mungu waweze kupona. hali si shwari wanaumwa!!!
Ni kwanini wasiombe kujiuzulu sababu ya Ugonjwa? wakipona wasema wako Tatari kulitumikia taifa tena?
Hivi ugonjwa wa Waziri hadi ufikie wa muda gani ndipo atakapoombwa kuachia ngazi?
Kwani hii picha ya mwaka gani?
JK kaanza kula bata long time sana, i wonder lini alianza kuwa na mawazo ya urais.
Waziri wa maji mh. Mark Mwandosya amerudi tena nchini india kulikoni, serikali mpaka leo ipo kimya juu ya ungonjwa wake tatizo liko wapi? na Dr. Mwakyembe nae hajaenda ofisini hadi leo japo alichungulia ofisi siku moja?
Source majira ya leo
Gaadamnit!Circa 1992......JK akiwa waziri na Prof akiwa katibu mkuu..guess where?...maji,madini na nishati....ndio mwaka mgao wa umeme ulianza rasmi
Gaadamnit!
Kumbe wala nchi ni wale wale?
Na kumbe alituongopea aliposema uzalishaji umeme umeongezeka, no wonder kuna mwana JF alisema haku put into consideration kuwa mahitaji nayo yameongezeka na uzalishaji haukidhi mahitaji hayo.
Are you serious mkuu kwamba hicho ndo kipindi mgao wa umeme ulianza?
Topical akija hapa atasema hiyo kazi ya mwalimu lol
Ugonjwa wa watu wengine unawahusu nini?
Serikali inajua wanachoumwa ndio maana inagaramia matibabu. Kwa nini msijali mambo yenu kuliko kufuatilia ya wenzenu. Kwani Rais aliyewateua hana akili?