BBJ
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 1,184
- 164
Samahani,hivi we ni MDADA au MKAKA?Yap wengi tunampenda mwandosya na tunamtakia maisha mema na marefu ila mkuu mbona kichwa cha habari na habari yenyewe havioani??
Samahani,hivi we ni MDADA au MKAKA?Yap wengi tunampenda mwandosya na tunamtakia maisha mema na marefu ila mkuu mbona kichwa cha habari na habari yenyewe havioani??
Kama kweli amesema kuwa ugonjwa ni siri yake na Dakta wake basi mimi namwita mbinafsi. Wakati mwingine watu wanakuwa interested kufahamu unaumwa nini ili nao waweze kujua ni jinsi gani wachukue tahadhari ili wasiumwe kama wewe. Nadhani kama ugonjwa ni siri yake basi hata huko kuumwa kwake kulitakiwa kuwe siri, unless kama ana Ukimwi (unaochukuliwa kuwa ni ugonjwa wa siri)..!
Samahani,hivi we ni MDADA au MKAKA?
Yap wengi tunampenda mwandosya na tunamtakia maisha mema na marefu ila mkuu mbona kichwa cha habari na habari yenyewe havioani??
Si umuache aseme mwenyewe,au wewe ndio kisemeo chake?Mkuu huyu ni MDADA mwenye heshima zake na anayejiheshimu na kuheshimika pia. Usimuhusishe na wakina papa msoffe. Mia
mimi ni mdada 100%samahani,hivi we ni mdada au mkaka?
FIGGANIGGA IS MY BROTHER THAT'S WHY AMEAMUA KUKUJIBU KWA NIABA YANGU. miaSi umuache aseme mwenyewe,au wewe ndio kisemeo chake?