Wamezidisha ushabiki, wacha watandikwe tu.
Na ndivyo ilivyotokea leo. Nawahurumia sana polisi kwa kitendo hicho. Kesho kila gazeti, isipokuwa yale ya kufungia vitumbua (mnayafahamu) habari yao kuu ukurasa wa mbele itakuwa ni polisi kuwapiga wanahabari.
Kuna taarifa kuwa mwaandishi wahabari wa IPP Media kapigwa na jeshi la polisi alipokuwa ameenda kuripoti matukio yaliyokuwa yanaendelea baada ya mwenyekiti wa CHADEMA Mhe, Mbowe alipoenda kuitikia wito wa jeshi hilo la polisi baada ya Mbowe na wanasheria kuingia ndani polisi walianza kupiga kila aliyekuwa eneo la tukio bila kujari ni nani ndipo alipojikuta mwandishi huyo akipigwa mpaka kupoteza fahamu.
Hili lazima waandishi walitolee tamko kali au walichukulie hatuabkali ikumbukwe mwaka jana Daud Mwangosi aliuwawa kikatili kwa amri ya RPC (Kamuhanda) wa Iringa wa wakati huo ambaye baada ya kutimiza azima yake hiyo alipandishwa cheo.
===============
Wamezidisha ushabiki, wacha watandikwe tu.
Chadema wataendelea kupoteza mvuto miongoni mwa waungwana kama wataendelea kuhubiri fujo na misuli kwa polisi. Kitabaki kushabikiwa na wahuni, wezi na wanywa viroba! Kitendo chochote cha kubishana na dola hakikubaliki kwa mtu yeyote hata ukiwa 'mwandishi wa habari'
Hivi CCM hakuna wachaga?
Saaafi sana ila tu, wazee wa boxer nao wangepewa ka uzito nusu ya haka tu!!!