Mwandishi wa habari wa ITV/ Radio 1 azimia kwa kipigo cha polisi

South-Korean-ferry-Sewol.jpg

vurugu-mbagala-baada-ya-kukojolea-msaafu-quran-6.jpg
 
walichoelekezwa waandishi wa habari hawakifahamu maana ya kushirikiana na serikali ni kuandika habari mbaya dhidi ya chadema sio kuandika uasilia wa mambo
 
Enzi za mkoloni polisi alikuwa kama mnyama kwa utendaji wake hususani kwa watu weusi. Mambo mengi yamebadilika ingawa mabaki ya ukoloni kwa baadhi yao bado yapo. Tumekuwa tukiiga mambo ya ulaya mbona jeshi la polisi halijifunzi mbinu ya kukabiliana bila madhara? Hii ni sababu fika kwamba polisi huwa na hasira kwa kulazimishwa utendaji huo.

Karne ya 21 bado mpo karne ya 18? Duuu!
 
Wamezidisha ushabiki, wacha watandikwe tu.

Kama wale waliotandikwa bomu kule Songea? Au mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu? Badala ya kufanya uchunguzi kwa nini polisi siku hizi wanashambuliwa nyie mnaleta ushabiki. Labda akishambuliwa Chagonja ndio mtakapo ona ni muhimu kuchunguza kwa nini na ni nani hao?
 
Na ndivyo ilivyotokea leo. Nawahurumia sana polisi kwa kitendo hicho. Kesho kila gazeti, isipokuwa yale ya kufungia vitumbua (mnayafahamu) habari yao kuu ukurasa wa mbele itakuwa ni polisi kuwapiga wanahabari.

Ifike mahaliwaandishi wa habari muache kuhudhuria shughuli polisi wanazotaka ziwafikie wananchi. Mfano mwezi huu ni wa wiki ya nenda kwa usalama anzeni na mgomo huo ili polisi wajue kwamba nyie ni muhimu kwa Taifa. Acheni kuandika habari zote za polisi hata mwezi mmoja tu.
 
kesho utawaona wanaenda press iliyoandaliwa na polisi.hawa nao hawajitambui.
 
Kuna taarifa kuwa mwaandishi wahabari wa IPP Media kapigwa na jeshi la polisi alipokuwa ameenda kuripoti matukio yaliyokuwa yanaendelea baada ya mwenyekiti wa CHADEMA Mhe, Mbowe alipoenda kuitikia wito wa jeshi hilo la polisi baada ya Mbowe na wanasheria kuingia ndani polisi walianza kupiga kila aliyekuwa eneo la tukio bila kujari ni nani ndipo alipojikuta mwandishi huyo akipigwa mpaka kupoteza fahamu.

Hili lazima waandishi walitolee tamko kali au walichukulie hatuabkali ikumbukwe mwaka jana Daud Mwangosi aliuwawa kikatili kwa amri ya RPC (Kamuhanda) wa Iringa wa wakati huo ambaye baada ya kutimiza azima yake hiyo alipandishwa cheo.

===============

kamuhanda yuko wapi siku hizi??
 
Mimi niliona kweli wakitimuliwa. Lakini kwa hali ilivyokuwa kama mwandishi hujavaa kitambulisho kwenye watu wengi ambao wengine ni wafuasi wa chama wenye kupiga kelele tu. Maana kushika kamera hakumaanishi kuwa mwandishi. Tujadiri tukiwa caution ndani vichwa hasa kuangalia mazingira harisi. Nikosa kubwa sana kumpiga mwananchi yeyote awe mwandishi au asiwe mwandishi.
 
Chadema wataendelea kupoteza mvuto miongoni mwa waungwana kama wataendelea kuhubiri fujo na misuli kwa polisi. Kitabaki kushabikiwa na wahuni, wezi na wanywa viroba! Kitendo chochote cha kubishana na dola hakikubaliki kwa mtu yeyote hata ukiwa 'mwandishi wa habari'
 
hakuna haja ya kupiga makelele..jeshi la polisi linabidi livunjwe lote lisukwe upya.
full stop
 
Chadema wataendelea kupoteza mvuto miongoni mwa waungwana kama wataendelea kuhubiri fujo na misuli kwa polisi. Kitabaki kushabikiwa na wahuni, wezi na wanywa viroba! Kitendo chochote cha kubishana na dola hakikubaliki kwa mtu yeyote hata ukiwa 'mwandishi wa habari'

Dunia nzima maandamano ni haki ya wananchi ku-express feelings zao. Polisi wanatakiwa kuwasindikiza kulinda usalama.na siyo kuwapiga. Kama waandamanaji wanatia vurugu wanadhibitiwa kwa njia yo yote ile na siyo kupigwa. Tena wanapoomba kibali ni lazima wapewe kama hakuna maandamano mengine kwenye maeneo hayo. Sijui ni kwa nini watu wa nchi hii hawajui haki zao na wala hawataki kuzijua. Inashangaza sana. What is wronh with kuandamana kama watu hawawaletei wengine madhara?
 
Kama sijasahau waandishi walikataa kuandika habari za polisi sasa walikwenda kufanya nini kwa wabaya wao tena?
 
Kuna taarifa kuwa mwaandishi wahabari wa IPP Media kapigwa na jeshi la polisi alipokuwa ameenda kuripoti matukio yaliyokuwa yanaendelea baada ya mwenyekiti wa CHADEMA Mhe, Mbowe alipoenda kuitikia wito wa jeshi hilo la polisi baada ya Mbowe na wanasheria kuingia ndani polisi walianza kupiga kila aliyekuwa eneo la tukio bila kujari ni nani ndipo alipojikuta mwandishi huyo akipigwa mpaka kupoteza fahamu.

Hili lazima waandishi walitolee tamko kali au walichukulie hatuabkali ikumbukwe mwaka jana Daud Mwangosi aliuwawa kikatili kwa amri ya RPC (Kamuhanda) wa Iringa wa wakati huo ambaye baada ya kutimiza azima yake hiyo alipandishwa cheo.

===============

Nyie nouma mnatengeneza mazingira ya kuamisha ugomvi mnawatwika waandishi waseme nao Na mfalme kakimbilia bondeni. Siku nyingine mkianzisha mmalize wenyewe.
 
Kuna taarifa kuwa mwaandishi wahabari wa IPP Media kapigwa na jeshi la polisi alipokuwa ameenda kuripoti matukio yaliyokuwa yanaendelea baada ya mwenyekiti wa CHADEMA Mhe, Mbowe alipoenda kuitikia wito wa jeshi hilo la polisi baada ya Mbowe na wanasheria kuingia ndani polisi walianza kupiga kila aliyekuwa eneo la tukio bila kujari ni nani ndipo alipojikuta mwandishi huyo akipigwa mpaka kupoteza fahamu.

Hili lazima waandishi walitolee tamko kali au walichukulie hatuabkali ikumbukwe mwaka jana Daud Mwangosi aliuwawa kikatili kwa amri ya RPC (Kamuhanda) wa Iringa wa wakati huo ambaye baada ya kutimiza azima yake hiyo alipandishwa cheo.

===============

95% ya gazeti la Tanzania DAIMA linauzwa KILIMANJARO Huwa silinunui kama UHURU.Ni mali ya FAMILIA ya MBOE,MAJINGA yanafikiri ni mali ya CDM.
 
Back
Top Bottom