Mwandishi APIGWA risasi na Polisi

Acha uongo huo wa mchana tena bila aibu. Polisi ni ndugu zenu tunawajua na bado wapo wengi tu wenye taaluma zao nzito na wameenda shule. Pale wanapopotoka tuseme ukweli kwamba wamepotoka, lakini pale ambapo mtu hana data asitake kuaminisha umma kama huyu salosalo anavyotaka kutuaminisha. Kumpiga mtu risasa si kitu kizuri waliohusika wachukuliwe hatua
Ndugu hata ukikaza misuli ya shingo kuwatetea bado ukweli unabaki palepale hawa jamaa zetu wanamatatizo upstairs, hata kuongopa kisomi hawawezi.....WAPUUZI SANA....Me nahisi huko mafunzoni huwa wanaondolewaga akili hawa sio bure!:shut-mouth:
 
Watanzania msilalamike, tulieni. Acheni polisi wafanye kazi yao! Hiyo serikali ya CCM mliiweka wenyewe madarakani. Tulieni mnyooshwe vizuri hadi hapo mtakapoondoa ushabiki wa Yanga na Simba katika siasa!

polisi ni majambazi wanaotumia kodi zetu kutuua, kutuibia na kutujeruhi. Tatizo ni sisi wenyewe tunawaendekeza
 
Acha uongo huo wa mchana tena bila aibu. Polisi ni ndugu zenu tunawajua na bado wapo wengi tu wenye taaluma zao nzito na wameenda shule. Pale wanapopotoka tuseme ukweli kwamba wamepotoka, lakini pale ambapo mtu hana data asitake kuaminisha umma kama huyu salosalo anavyotaka kutuaminisha. Kumpiga mtu risasa si kitu kizuri waliohusika wachukuliwe hatua

Lkn ndg yangu,em tuongee ukweli, mm nimekulia na bado nipo ktk familia hizi za askari hawa. Toka 81 nimeishi hapa ufundi ghorofa ya pili hiz za zamani km waenda mgulani. Hivi hawa wanaelimu gani? Mode zao za kukuza taakuma baada ya kutopa moshi hasa hawa wa F4 zipoje??
Wengi wao ni watoto wa polisi, ama ndg zao na wanaenda huko ccp kwa upendeleo tena pale inapokuwa hawana pa kwenda ukilinganisha na matokeo yao, sasa kwa elimu wanayoikosa ni interijensia gani watakayo itumia km c hio ya ujangili??
Ktk kizazi tukutu ni cha polisi, kaa nao karibu utajifunza kitu
 
Wanayofundishwa chuoni, kutumia silaha za moto, kulenga shabaha, kupambana na waandamanaji, jinsi ya kubambikia watu kesi na bangi, kutokubali kuwajibika na kujitetea kwanjia yoyote hata kama kusema uongo wa darasa la chekechea.
 
Ni safari wameanza. Ngoja niwaambie ukweli kidigo kuhusu hawa Polisi, Fuatilia historia zao za maendeleo ya darasani wakiwa shuleni kwa wale waliopata kusoma japo mpaka form four tu. Ni wale ambao walikuwa hawawezi kupata swali kwa mara ya kwanza mpaka masahihisho. Au la, lazima waibie kwa mjuaji mmoja. sasa leo wako wao kwa wao wataibia wapi kama si mwendo wa makosa tu? Ukweli huu haufutiki kirahisi, ni historia imeshaandikwa.

Acha kuaminisha watu ujinga wako kwani chuki yako kwa POLISI ni kubwa kiasi hicho hata cha kutokuona mazuri ambayo wamewahi kukufanyia?usiniambie kwamba hujawahi kupata huduma ya POLISI?
 
Ni kama unaendelea kuonyesh ujinga wako kwa jazba na kutokujibu hoja mkuu. Angalia isijekuwa wewe ni mpumbvu
 
Ni safari wameanza. Ngoja niwaambie ukweli kidigo kuhusu hawa Polisi, Fuatilia historia zao za maendeleo ya darasani wakiwa shuleni kwa wale waliopata kusoma japo mpaka form four tu. Ni wale ambao walikuwa hawawezi kupata swali kwa mara ya kwanza mpaka masahihisho. Au la, lazima waibie kwa mjuaji mmoja. sasa leo wako wao kwa wao wataibia wapi kama si mwendo wa makosa tu? Ukweli huu haufutiki kirahisi, ni historia imeshaandikwa.

aisee hujakosea kwei kabisa. nida walisemaje majuzi kati? mia saba au mia tisa?
 
Hakuna anayekataa kuwa polisi si ndugu zetu,labda tu unataka kubisha, lakini ukweli ni kuwa asilimia kubwa ya wanaoenda polisi na uwalimu ni wale wa div 1v au 111 ya mwisho,hata mitaani uwa kauli za namna hii hazikosekani 'ina maana mwanao amekosa hata ualimu au upolisi?',jaribu kufuatilia kauli hizo pindi matokeo ya mitihani ya form 4 au 6 yanapokuwa yametoka na selection imeshafanyika,kama wewe ni miongoni mwa wale wanaokandamiza keki ya taifa wenyewe sitashangaa kama hujui hili.

Aaaaa kumbe data za mitaani, hapo nimekuelewa vizuri..........!

Itatengenezwa filamu ya maandano yaliyozuia mwandishi akakaidi! Nafikiri hapa tatizo kubwa ni mfumo mzima wa polisi voda fasta! IGP ametembea nchi nyingi binafsi sioni sababu ya kutotumia uwezo wake kureshape jeshi zima la polisi akianzia CCP Moshi. Pole mwandishi Mungu akusimamie upate nafuu haraka.
 
Daima penye kimya kikuu katikati ya uhalifu pana mshindo mkuu!.. Watu wanaoguswa na mauaji na kuona hatua stahiki hazichukuliwi wataendelea kutambua wapi wanaishi na nani anaua raia na nduguze ni kina nani ili nao walipe kisasi! Siku ya kisasi ikifika watakimbia raia kwa miguu yao!.
 
Wale wote waliofeli form 4 ndio wamekimbilia kuwa polisi,umbumbumbu wa shuleni haumalizwi kwa kukaa ccp miezi 9,walaaniwe waliotenda kitendo hicho, wafe wao mapema
 
Mkuu umeisahau ile kauli ya afande Balo kabla hajauawa,aliyoitoa kwa vyombo vya
habari, kuhusu yule afisa wa uhamiaji aliyeshambuliwa kwa risasi na polisi
 
Ni safari wameanza. Ngoja niwaambie ukweli kidigo kuhusu hawa Polisi, Fuatilia historia zao za maendeleo ya darasani wakiwa shuleni kwa wale waliopata kusoma japo mpaka form four tu. Ni wale ambao walikuwa hawawezi kupata swali kwa mara ya kwanza mpaka masahihisho. Au la, lazima waibie kwa mjuaji mmoja. sasa leo wako wao kwa wao wataibia wapi kama si mwendo wa makosa tu? Ukweli huu haufutiki kirahisi, ni historia imeshaandikwa.

Acha uongo huo wa mchana tena bila aibu. Polisi ni ndugu zenu tunawajua na bado wapo wengi tu wenye taaluma zao nzito na wameenda shule. Pale wanapopotoka tuseme ukweli kwamba wamepotoka, lakini pale ambapo mtu hana data asitake kuaminisha umma kama huyu salosalo anavyotaka kutuaminisha. Kumpiga mtu risasa si kitu kizuri waliohusika wachukuliwe hatua

Mimi nilishasema kwamba ukweli haufutiki kirahisi, hii ni historia na wala haifutiki kirahisi hata utoke povu vipi. Kukosea hawajaanza leo
 
Ni safari wameanza. Ngoja niwaambie ukweli kidigo kuhusu hawa Polisi, Fuatilia historia zao za maendeleo ya darasani wakiwa shuleni kwa wale waliopata kusoma japo mpaka form four tu. Ni wale ambao walikuwa hawawezi kupata swali kwa mara ya kwanza mpaka masahihisho. Au la, lazima waibie kwa mjuaji mmoja. sasa leo wako wao kwa wao wataibia wapi kama si mwendo wa makosa tu? Ukweli huu haufutiki kirahisi, ni historia imeshaandikwa.

Acha uongo huo wa mchana tena bila aibu. Polisi ni ndugu zenu tunawajua na bado wapo wengi tu wenye taaluma zao nzito na wameenda shule. Pale wanapopotoka tuseme ukweli kwamba wamepotoka, lakini pale ambapo mtu hana data asitake kuaminisha umma kama huyu salosalo anavyotaka kutuaminisha. Kumpiga mtu risasa si kitu kizuri waliohusika wachukuliwe hatua

Acha kuaminisha watu ujinga wako kwani chuki yako kwa POLISI ni kubwa kiasi hicho hata cha kutokuona mazuri ambayo wamewahi kukufanyia?usiniambie kwamba hujawahi kupata huduma ya POLISI?

Daima utapinga na kutoa povu sana, hata kama nimewahi kupata huduma ya polisi, tena sio mara moja. lakini ukweli kwamba ni vilaza wenye silka ya kukosa mpaka masahihisho unabaki palepale.
 
Ni safari wameanza. Ngoja niwaambie ukweli kidigo kuhusu hawa Polisi, Fuatilia historia zao za maendeleo ya darasani wakiwa shuleni kwa wale waliopata kusoma japo mpaka form four tu. Ni wale ambao walikuwa hawawezi kupata swali kwa mara ya kwanza mpaka masahihisho. Au la, lazima waibie kwa mjuaji mmoja. sasa leo wako wao kwa wao wataibia wapi kama si mwendo wa makosa tu? Ukweli huu haufutiki kirahisi, ni historia imeshaandikwa.

Mkuu umenikumbusha kituko kimoja, nilishawahi kwenda kituo cha polisi kuna mtu nilikuwa nina matatizo nae.Aisee, pale mapokezi alikuwepo dada mmoja na kijana mmoja.Kuna form huwa inajazwa kwa mtu wanaemuhifadhi 'ndani', ile form ilikuwa imeandikwa kwa kiingereza(kama hawajabadili), ina vitu kama,name, sex, tribe, age n.k.yule dada alichanganya mafaili hata mtoto wa darasa la kwanza ni afadhali,pamoja na kuelekezwa na mwenzake, lakini bado sehemu ya name aliweka umri,sex aliweka jina la mtuhumiwa, full vituko.Niligundua pamoja na kutoelewa kiingereza, hata kuandika kiswahili alikuwa hajui maana uandishi wake ulikuwa wa ajabu sana.Ilichukuwa mda sana kujaza hiyo form.Kazi kweli kweli!
 
Mkuu Tumaini Makene namsikia Kamanda Kenyela (RPC - Kinondoni) anasema kwamba Mwandishi wa Habari (Bw. Matutu) alimshambulia askari kwa panga na kumjeruhi mkononi kabla risasi haijafyatuka na kumpata Matutu. Kwamba alishambuliwa akiwa katika kazi halali ya serikali.

Unasemaje hapo mkuu?

Source: WAPO Radio kipindi cha Patapata.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom