Wakenya wakiwaita walamba viatu mnaaza kulalamika,mweye kale kapicha ketu pendwa atuwekee hapa.Shida ya waandishi wa TZ ni njaa. Ndio maana mda mwingi wakipata nafasi ya kukutana na mkubwa ni kulia lia tu.Hopeless kabsa
Wakenya wakiwaita walamba viatu mnaaza kulalamika,mweye kale kapicha ketu pendwa atuwekee hapa.Shida ya waandishi wa TZ ni njaa. Ndio maana mda mwingi wakipata nafasi ya kukutana na mkubwa ni kulia lia tu.Hopeless kabsa
Kumbe walikua bado wanapata matangazo ndo maana ya madai ya hiyo 8bn? Ruzuku nayo pia wanaitaka? Safari za UN? Na vyeo pia? Bado nn Sasa?Sasa
Wateja wataendaje wakati kanun zilibadilishwa kimya kimya ili matangazo ya serikali yasiende kwenye vyombo binafsi?? Unaona hiyo billion nane wanayoudai serikali kuwa n ndogo?
Pascal who???!!!😲Sasa watauliza nini hao wasoma habari.
Pascal hakuwepo huyo walau angeuliza cha maana.
Umetukana , Sasa subiri ukitukanwa utulieSasa ulitaka waulize habari za mkeo? Hayo ndio wanayoyataka unazan bila matangazo watajiendeshaje
Ni aina ya waandishi wa habari tulionao.sijui hawajipangi au hawajazoea kuhoji viongozi wa ngazi za juu.labda wangemwomba Zuhra Yunusi na Kikeke aje awasaidie.wamekosa exposure ndo maana wanaomba kwenda UN ni mental slavery kuwaza wazungu ni bora kuliko ss wenyewe.Inasikitisha sana kusikiliza maswali yanayoulizwa na Waandishi. Unauonaje uraisi? Tupewe safari za UN, tupewe nafasi ya matangazo? Kweli? Mbona MATAGA hawateuliwi?
critical thinkingUli truncate bandiko langu sheikh ungeli lirejelea kwanza.
Hitajio la uwepo wa katiba mpya, kuheshimiwa kwa haki, uhuru wa watu na utawala wa sheria hayawezi kuwa maslahi binafsi.
Jambo lolote ambalo kibinafsi walenga kujipatia fursa zaidi mbele ya rais hilo liko fyongo.
Au nasema uongo ndugu yangu?
Afadhali Pascal hakuwemo!Sasa watauliza nini hao wasoma habari.
Pascal hakuwepo huyo walau angeuliza cha maana.
Waandishi uchwaraInasikitisha sana kusikiliza maswali yanayoulizwa na Waandishi. Unauonaje uraisi? Tupewe safari za UN, tupewe nafasi ya matangazo? Kweli? Mbona MATAGA hawateuliwi?
Hayo Matangazo ndio bread and butter ya hao jamaa kuwepo hapo..., Bila Matangazo hao jamaa ni extinct..., ila tatizo sidhani kama ni la mtu bali teknolijia imebadilika inabidi wabadilike....tupewe nafasi ya matangazo? Kweli? Mbona MATAGA hawateuliwi?
Kwani wale wabunge wa 19 ndio wanaotusababishia matatizo sisi Wananchi? Inaonekana hata wewe ungekuwepo ungeuliza swali kwa ajili ya maslahi yako tuHatuna waandishi wa Habari
tunawachumia tumbo tu,
Fikilia anayejiita eti mhariri
D,Balile,
anapata nafasi ya kumuuliza maswali Raisi wa Nchi anashindwa kuuliza swali hata la wale wabunge wa gareji kina Mdee na genge lake kweli?