Mwandishi anapoomba safari za kwenda UN, Seriously!

Sasa

Wateja wataendaje wakati kanun zilibadilishwa kimya kimya ili matangazo ya serikali yasiende kwenye vyombo binafsi?? Unaona hiyo billion nane wanayoudai serikali kuwa n ndogo?
Kumbe walikua bado wanapata matangazo ndo maana ya madai ya hiyo 8bn? Ruzuku nayo pia wanaitaka? Safari za UN? Na vyeo pia? Bado nn Sasa?
 
Inasikitisha sana kusikiliza maswali yanayoulizwa na Waandishi. Unauonaje uraisi? Tupewe safari za UN, tupewe nafasi ya matangazo? Kweli? Mbona MATAGA hawateuliwi?
Ni aina ya waandishi wa habari tulionao.sijui hawajipangi au hawajazoea kuhoji viongozi wa ngazi za juu.labda wangemwomba Zuhra Yunusi na Kikeke aje awasaidie.wamekosa exposure ndo maana wanaomba kwenda UN ni mental slavery kuwaza wazungu ni bora kuliko ss wenyewe.
 
Uli truncate bandiko langu sheikh ungeli lirejelea kwanza.

Hitajio la uwepo wa katiba mpya, kuheshimiwa kwa haki, uhuru wa watu na utawala wa sheria hayawezi kuwa maslahi binafsi.

Jambo lolote ambalo kibinafsi walenga kujipatia fursa zaidi mbele ya rais hilo liko fyongo.

Au nasema uongo ndugu yangu?
critical thinking
 
tupewe nafasi ya matangazo? Kweli? Mbona MATAGA hawateuliwi?
Hayo Matangazo ndio bread and butter ya hao jamaa kuwepo hapo..., Bila Matangazo hao jamaa ni extinct..., ila tatizo sidhani kama ni la mtu bali teknolijia imebadilika inabidi wabadilike....
 
Hatuna waandishi wa Habari

tunawachumia tumbo tu,
Fikilia anayejiita eti mhariri

D,Balile,
anapata nafasi ya kumuuliza maswali Raisi wa Nchi anashindwa kuuliza swali hata la wale wabunge wa gareji kina Mdee na genge lake kweli?
Kwani wale wabunge wa 19 ndio wanaotusababishia matatizo sisi Wananchi? Inaonekana hata wewe ungekuwepo ungeuliza swali kwa ajili ya maslahi yako tu
 
Back
Top Bottom