Mwandishi aliyechinjwa na IS

Mwandishi aliyechinjwa na IS

Status
Not open for further replies.
Tofauti hapa ni kwamba ISIS wanaua kwa kuchinja kama anavyochinjwa kuku kwa kuwa dini yao inawataka kufanya hivyo. Hivi watoto wadogo si watazoea kuona damu na hivyo kudhani kuchinja binadamu mwenzako ni jambo la kawaida?

Bali kuua kwa mabomu ndio sawa
 
Watoto wanafundishwa vitu vya kiajabu.

201408260406105.jpeg

Watoto wakiume hao, wanafundishwa ujasiri ! ...........sio kufundishwa ushoga na kula unga ili waje wapewe kondomu na vyandarua kwa kubadilishana na dhahabu. lawmaina78
 
Last edited by a moderator:
Wanaofanya hivi vituko wanajiita dola ya Uislamu, hamna muislamu yeyote aliyejitokeza kulaani vituko vyao. Wakristo wengi tushalaani vituko vya Lord resistance army, lakini nyie huwa mnashabikia, nashangaa kiongozi wenu hapa JF FaizaFoxy mbona amechelewa. Hebu tizama picha zilizopo kwenye link aliyoweka jamaa, watoto wanatumia simu kupiga picha vichwa vilivyokatwa huku wakicheka.

Hata wewe unaweza kuanzisha kikundi chako ukakiita cha Kiislam ili kuupaka matope Uislam, ni nani asiyejuwa kuwa ISIS imeanzishwa na USA na washirika wao?

Jee, wewe hujuwi? tukupe data?
 
Yesu alisema kuna watu wataua wakidhani wanamuhudumia Mungu. Watafanya hivyo kwa kuwa bado hawajamjua Mungu wa kweli

Hao watu wakaamua kumuua mungu mwenyewe pale msalabani ! Kakende
 
Last edited by a moderator:
Nimeogopa kuangalia hiyo video. Imani za kuchinja watu kama kuku.

Wamarekani walikuwa katika imani gani wakati wanateremsha. mabomu ya Atomic katika miji ya Nagasaki na Hiroshima !?? bato
 
Last edited by a moderator:
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii this is too devilish! no one will touch my clitories! uwiiiiiiiiiiii thats my everything, i wish i had two of them, sooooo enjoyable! loooool! this pipo should vanish frm this world, tufyakwa! na wah ooooo!

Acheni uwongo tupeni ushahidi kwamba hiyo link ni ya muislam,inabidi mchuje baadhi ya mambo msiwe kama hamna akili.
Kwa uislam ni dhambi kwa mwanamke kuondolewa clitoris.

Kuna links nyingi kwenye internet zinajidai na za kiislam kumbe zinaandaliwa na wayahudi na wakristo ili kuuchafua uislam.
 
Watoto wakiume hao, wanafundishwa ujasiri ! ...........sio kufundishwa ushoga na kula unga ili waje wapewe kondomu na vyandarua kwa kubadilishana na dhahabu. lawmaina78

Sawa mnawapa mafunzo ya kuwaua Wakristo, lakini kumbuka mtu akisha kula nyama ya binadamu atageukia hadi wa kwake, sasa mnauwana kwa misingi ya eti Shia na Suni, itawakuta hata nyie.

LiveLeak-dot-com-4eb_1407196993-3_14071971871.jpg.resized1.jpg
 
Ni hatari sana kuamini kuwa Mungu ana kiu ya damu za watu.....What kind of God do these people worship?

Ni hatari sana kuamini kuwa mungu kamwaga damu ya mwanae wa pekee kwa ajili ya wapppuzi fulani ambao hupanda Altareni kunywa Dodoma wine wakiamini wanakunywa damu !
Hawa ndio real blood sucker ! Utingo
 
Last edited by a moderator:
Sawa mnawapa mafunzo ya kuwaua Wakristo, lakini kumbuka mtu akisha kula nyama ya binadamu atageukia hadi wa kwake, sasa mnauwana kwa misingi ya eti Shia na Suni, itawakuta hata nyie.

LiveLeak-dot-com-4eb_1407196993-3_14071971871.jpg.resized1.jpg
lawmaina78 you have ruined my day!
 
Sawa mnawapa mafunzo ya kuwaua Wakristo, lakini kumbuka mtu akisha kula nyama ya binadamu atageukia hadi wa kwake, sasa mnauwana kwa misingi ya eti Shia na Suni, itawakuta hata nyie.

LiveLeak-dot-com-4eb_1407196993-3_14071971871.jpg.resized1.jpg
Hata Waprotestant na Wakatoliki wanauana pia !........Wahutu na Watusi wanauana na Wakikuyu na Wajaluo wanauana ..........hakuna tofauti !
Au umesahau mauwaji ya Kimbari hapo Rwanda ambao ni mtaji wa PK !? lawmaina78
 
Last edited by a moderator:
Acheni uwongo tupeni ushahidi kwamba hiyo link ni ya muislam,inabidi mchuje baadhi ya mambo msiwe kama hamna akili.
Kwa uislam ni dhambi kwa mwanamke kuondolewa clitoris.

Kuna links nyingi kwenye internet zinajidai na za kiislam kumbe zinaandaliwa na wayahudi na wakristo ili kuuchafua uislam.

Haina maana hiyo link, ni uzushi wa Wagalatia !..........ati Waislaam wamemuweka mungu mwezi kwenye hizo sheria.
Wanasahau kuwa mchana hamna mwezi (mungu mwezi) kunakuwa na jua, sasa naye jua ni mungu wa nani !? (labda ni mungu wa Wakiristu kwani wao wanafanya ibada sun-day)
 
Aisei!! umeniharibia siku, duh!! hizo picha zinatisha kishenzi. Yaani ni majanga kujua tunaishi na watu wenye imani kama hizi hata huku EAC. Yaani inanipa picha tofauti sana kila nikimuona muislamu. Dah!! hii hata shetani anawaogopa hawa.

Wale wanao rusha ndege zenye mabomu zisizo na rubani na kustrike popote hata kama ni sokoni wao wwana Dini gani !??
ukiwaona unawachukuliaje ?..........ni mapepo ?
 
Utawaona muda usio mrefu wakija kushabikia, afu wote wa huku Wabantu utaona wanashabikia vituko vya warabu, jameni mtu anachinjwa kama mbuzi mbele ya watoto wanaotabasamu, kweli dini gani inawafundisha watoto ukatili wa aina hii. Yaani dunia naona itapasuka muda usio mrefu, kama hii ndio taswira.

Dini gani inayowafundisha kulawiti watoto Altareni ..........na kuwahimiza ndoa za jinsia moja baada ya 'kuwaharibu' !?? lawmaina78
 
Last edited by a moderator:
Mimi sijui mnayofundishwa kwenye misikiti, lakini jambo moja wazi ni kuwa kuna watu wanachinja wenzao wakidai kufanya hivyo kwa ajili ya uislamu na lakushangaza wengi wenu mnawashabikia ikiwa ishara hizo ndizo sera zenu. Kile huniuma ni eti tunakula na kuishi na nyie kila siku, yaani nikimuona muislamu afu nikumbuke yale wenzenu wanafanya, jameni nahisi kutapika. Mungu awasaidie sana.

Hapo kwenu mlipouana kwa ajili ya uchaguzi na ukabila ulitapika mara ngapi
? hapo Mombasa mmeua Masheikh wangapi !?........na umetapika mara ngapi ?.........Tom Mboya, Robert Ouko, Pro Saitoti ?
 
hiki ndicho alichokitaka USA sababu rasmi ya kurud Iraq na kuingia Syria..USA hashindwi kujitengenezea sababu yoyote ilmradi atimize matakwa yake..refer to Sept 11 alijipga mwenyewe apate sababu ya kwenda Afghan...sasa huku tz wajinga wachache wakiishangilia ISIS kusimamisha khilafa USA anaenda kuchukua chake na sababu anayo..
 
Allah akbalu!
Taqbil...!!"

Mungu ni Mkubwa !..........hata kama una ndege zisizo na marubani, hata kama una makombora ya kuongozwa na mitambo (laser missiles) iko siku nawe utalizwaa !
 
Hakika inatisha. Sijui wanalalaje usingizi baada ya kumchinja binadamu kama kuku

Wanalala usingizi ule ule wanaolala wale wanao tuma ndege zenye makombora zisizo na marubani kulipua popote pale penye adui yao bila kujali waliopo ambao hawahusiki
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom