Inawezekana akawa shushushu wao ila anatumia cover ya uandishi wa habari, na inawezekana huyo alikuwa anarusha habari na intelligence report, na jamaa baada ya kuasi dhidi ya wamarekani kuna probability kubwa walikuwa wanawajua kwamba ni ma spy, na kwa nini wawe embedded kwenye rebel army tena lililokuwa supported na americans and british? On top of that ni zile zile silaha walizokuwa wanapewa kumuondoa assad na wamarekani walikuwa wanajisifu kwamba wanawapa waasi ili wamuondoe assad,silaha nyingi ni made in america