Mwandishi aliyechinjwa na IS

Mwandishi aliyechinjwa na IS

Status
Not open for further replies.
usa bwana ila sasa anapotaka kuingia atajuta mrusi si mwarabu wataoneshana umwamba japo mrusi hana NATO
 
Obama kichwa kinamuwanga masikini.wamewafunza,wakawapa silaha sasa wanawageuka.na hao wanaouawa ni mashushushu wao,maana mwandishi wa kawaida kwenda nchi kama syria ni kujitakia balaa.

umesikia fbi na cia wanachosema?eti wanajaribu kuverify the authenticity of the video,ina maana hawajakiri kwamba jamaa isis wamemdicapitate. Mi nadhani ni ku ease tension kwa wamarekani ili wasionekane kwamba intelijensi yao imeshndwa kumuokoa baada ya yule wa kwanza kuchinjwa. Hawajatoa tamko rasmi hadi wathibitishe kwanza. Kazi ipo!

Isis ni hatari.
 
Ni hatari sana kuamini kuwa Mungu ana kiu ya damu za watu.....What kind of God do these people worship?

Unajua mauaji ni mauaji tu. Yale makombora ya ndege zisizo na rubani huua kiukatili pia walengwa na wasio walengwa. Ni kwa bahati mbaya tu kupitia propaganda kwamba akipigwa mtu na kombora lililorushwa na ndege za serikali ya Marekani hapo utaambiwa siyo ugaidi.

Ni majuz tu Marekani ameungana na adui yake mkubwa Washia wa Iraq kuwapiga Wasunni wa Iraq na Syria( ISIS/ ISIL). Nilimsikia mtangazaji wa BBC akistaajabu wale Shia ambao walikuwa maadui wakubwa na Marekani na washazipiga sana pale Iraq leo ni marafiki kisa eti ISIS, huu ni undumilakuwili uliochupa mipaka!

Hivyo mauji ni mauaji tu sema roho zinapotapatapa kwa kupigwa na makombora hasa za watu wasio na hatia kwa kisingizio cha bahati mbaya watu hawalalamiki lakini pia inakuwa ni kifo kibaya kabisa, sema kwa kuwa picha za mauaji hayo hufichwa. Lakini zingewekwa wazi ungekubaliana na mimi ni ukatili mkubwa sana sawa na huu wa kuchinjwa dhidi ya Ubinadamu. Lakini watu waliojaa udini wanaona ni sawa tu kwa kuwa kombora la Marekani limeua basi hamna simanzi
 
Obama kichwa kinamuwanga masikini.wamewafunza,wakawapa silaha sasa wanawageuka.na hao wanaouawa ni mashushushu wao,maana mwandishi wa kawaida kwenda nchi kama syria ni kujitakia balaa.

Propaganda tu hizo zimetuchosha
 
Yesu alisema kuna watu wataua wakidhani wanamuhudumia Mungu. Watafanya hivyo kwa kuwa bado hawajamjua Mungu wa kweli
 
ahahahahahahhaha ngoja niibadilishe nikuekeee ingine
 
Dah, imani zingine bana, muuaji akitoka hapo anaingia msikitinigalia anaangalia kaaba, anapiga swala kama kawaida
 
huwa wanaenda peponi wanakutana na mabikira 70 wanawagombania..hizo ndio akili za wafuasi wa mudi
Na wale wakristo wanaokata vichwa mexico wanatumia akili ya nani?
 
Mkuu hapa kinachoongelewa (ISIS) ni mauaji kwa jina la Allah. Kwani hao wa Mexico wameshika Bible?. Acha kuchanganya mambo. Mfano Kikwete akihamulisha waandamanaji wauawe tuseme ni Uislam kwa sababu yeye ni Muislam?. Au Jambazi akiwa anaitwa Ally na akaua watu tuseme ni Uislam umeua?. Hapa tunaangalia ISIS ambao wanaua then wanaanza kulazimisha watu waishi kwa sharia za kiislam, na kusambaza Quran mtaani
 
Wamarekani washenzi sana,wao ndio waliosababisha iraq,syria,libya na ht afghanistan kuishi kwa kupigana wenyewe kwa wenyewe,alimuua saddam bure kwa kisingizio eti ana silaha za nyuklia,wako wapi walibya waliokuwa wakiishi kwa raha nchini kwao kiliko nchi yoyote duniani unayoijua wewe,leo mmarekani anawapiganisha na kuwaua raia bila kosa lolote,mbona hajawahi kuinua mdomo kwa kuwaonya waisrail kuwaua watoto na wanawake wasio na hatia huko gaza,haya ndio malipo yenu tunakusubirini na huku iran mje mtugombanishe muone km mtaishi tena nje ya nchi yenu,wasiojua wataona waislam wanawachinja bila kosa lkn kosa limefanya nchi yao kwa kumwaga damu ndani ya nchi za watu,yuko wapi sadam na wanawe leo hii?yuko wapi gadafi na wanawe leo hii?yote hayaonekani wanaonekana hao wenye machungu ya kuvamiwa na kupiganishwa ndani ya nchi yao kuwa wao ndio wahalifu,wamarekani msipojirekebisha mtamalizwa kidogo kidogo,ajenda ya siri ya obama imejulikana na sasa ni kuwalipiza kisasi tu,haihusiani na dini na hata ukiwasikiliza ISIS wanaeleza wazi wanachowachinjia wamarekani.

Kama ndiyo Mbona ISIS wameua Washia na kuchoma misikiti yao ya ibada? Kwanini wanaua Yazid, Wakurdi, Wakristu wa huko badala ya wote kuungana na ili kupambana na Marekani?
 
Mkuu hapa kinachoongelewa (ISIS) ni mauaji kwa jina la Allah. Kwani hao wa Mexico wameshika Bible?. Acha kuchanganya mambo. Mfano Kikwete akihamulisha waandamanaji wauawe tuseme ni Uislam kwa sababu yeye ni Muislam?. Au Jambazi akiwa anaitwa Ally na akaua watu tuseme ni Uislam umeua?. Hapa tunaangalia ISIS ambao wanaua then wanaanza kulazimisha watu waishi kwa sharia za kiislam, na kusambaza Quran mtaani

Ukitaka kujua hawa jamaa ni wanyama na hawana utu hata kidogo, tafadhali tembelea hii tovuti kwa ku-click hapa

Lakini pia wameweka na sharia zao kabisa - Sharia law:

View attachment 182507
 
Ukitaka kujua hawa jamaa ni wanyama na hawana utu hata kidogo, tafadhali tembelea hii tovuti kwa ku-click hapa

Lakini pia wameweka na sharia zao kabisa - Sharia law:

View attachment 182507

Aisei!! umeniharibia siku, duh!! hizo picha zinatisha kishenzi. Yaani ni majanga kujua tunaishi na watu wenye imani kama hizi hata huku EAC. Yaani inanipa picha tofauti sana kila nikimuona muislamu. Dah!! hii hata shetani anawaogopa hawa.
 
Acha ndugu yangu binafsi nilipoiona nilijiuliza mara mbili mbili, hivi kweli hawa watu wana imani ya kawaida au kuna kitu cha ziada ndani yake? Haiwezekani ikawa ni dini ya amani wakati inashabikia uuaji kama huu wa kutisha namna hii. Natamani wafuasi wa imani hii waje waseme wenyewe kama haya ndio mafundisho sahihi au kuna kitu cha ziada!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom