Dunia haitatokea kuwa na Amani mpaka watu wenye akili za Kiyahudi na Kimarekani watakapokuwa hawapo Duniani
Kwa taarifa yako:
1. Talibani imeundwa na Wamarekani na kufadhiliwa fedha, silaha na mafunzo ikisaidiwa na Pakistan.
2. ISIS Imeundwa na Wamarekani na hayo yamezungumzwa hadharani bila ya kificho na Wamrekani. Ikiwa pamoja na kuitangazia Dunia kuwa wamewafungulia Account na uongozi wao unatambuliwa na Washington.
3. Uchokozi, chokochoko, na fitna juu ya Ukraine imenzishwa na Wamarekani na EU kwa kuishawishi na kutafuata influence katika nchi inayo share boarder na Russia.
Kaduguda habari ndio hiyoo !