Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,653
kwa hiyo unataka kusema taliban na ISIS SIO WAISLAMU?
Unataka kusema Wahutu na Watusi si Wanyarwanda !?
Kwahiyo Wamarekani wamewapa Silaha ISIS na Talibani kupigania Uislaam !??
Assad wa Syria ni mtu anayezuia Uislaam !?
Talibani wanapigana na NATO na Karzai ili kueneza Usilaam Afghanistan !? jMali
Last edited by a moderator: