Mwandishi aliyechinjwa na IS

Mwandishi aliyechinjwa na IS

Status
Not open for further replies.
Wewe ungewalaumu waamerika kwa kuwa mobilize ISIS na kuwapa pesa na silaha !.............walipewa silaha wamuue nani ?!
Ngoja bana naona unababaisha! Trend iko hivi...Marekani na labda kwa kushirikiana na mayahudi yanachochea uasi kwa utawala wa bashar syria kwa msingi wa kupinga udikteta. wanatoa msaada kwa makundi wanayodhani yatatetea demokrasia na maslahi ya marekani. Makundi ya imani kali ya kiislaam yanaingia nayo kupigana kupingana na mengine kwamba ni vibaraka wa marekani. Matokeo yake ISIL inayokata watu vichwa na kuwalazimisha watu kuslim kwa bunduki inazaliwa. Nani anaisaidia ISIL;... inasemekana michango kutoka matajiri wafuasi waimani kali ya kiislaam na ngawira kwenye mapigano ikiwa ni pamoja na kuteka visima vya mafuta ndio ufadhili wa ISIL.
 
Katika jukwaa hili hili kuna uzi unaelezea vizuri ushirika wa Marekani na Israel imeletwa kwa hisani ya member Polite ipitia basi uache mambo ya ramli kmbwembwe
 
Last edited by a moderator:
Tatizo lako liko wapi wao wakisimamisha Taifa la Kiislaam katika nchi yao na ardhi yao ?
Why iwe ni tatizo kwa NATO ?........why liwe tatizo kwako ?
Ndio maana nimekuuliza 'Karzai anazuia Uislaam usienezwe Afghanistan ?
acha kujitoa fahamu !

wewe ndio usijitoe ufahamu, marekani hana tatizo na saudi (ufalme wa kiislamu), hana tatizo na Qatar...kama tatizo ni uislamu tu kwa nini aende kupigana na waislamu wachovu kama Afghanistani? usijifanye kusahau kuwa Taliban walimhifadhi Osama ambaye alikuwa na vita na marekani.
Pili, Watu wa afghanistani ambao wanawakilishwa na serikali ya Karzai HAWATAKI utawala wa kiislamu wa Talibani, Afghanistan kama nchi ina uwezo wa kuomba msaada toka kokote kule kupambana na magaidi. Hata somalia, wasomali majority HAWAWATAKI al-shabab, hata nigeria waislamu majority HAWAWATAKI Boko-haram, Saudia kwenyewe HAWATAKI Al-Qaeda....ila wewe unajitoa ufahamu hapa JF unatetea magaidi
 
kuchinja mtu mmoja na kupiga mabomu watu 900, wasio na hatia , hivi kipi kinauma sana!
 
Kamanda MZIMU Hawa makafiri wala haina haja ya kuwapa maelezo.

Yesu katufundisha somo zuri sana kwenye biblia.
Alitwambia

Think not that I am come to send peace on earth: I came not to send peace, but a sword.-Matthew 10:34

He that hath no sword, let him sell his garment, and buy one.Luke 22:36

Sasa PANGA la yesu linasema Jicho kwa jicho. Pua kwa pua.
Na Nafsi kwa Nafsi.

Hao makafiri wasisogee ktk Ardhi ya WAISLAMU kuleta FITNA.

Kama wanataka Kuja kuishi huko basi Wasituletee Ukafiri wao wa Kuchonganisha Ndugu! Na kuua watoto wetu.
La si hivyo haya watayaona kila siku.

Mkuki kwa Nguruwe ni OK! Kwa Binaadamu mchungu sana.

Wagalatia ni Mzigo

mkuu nasikia shehe farid na mselem wamelawatiwa.
 
Last edited by a moderator:
Ni yule ambae tunakunywa dodoma wine kukumbuka damu yake kila jumapili.
Na hata tukichinja au kubaka yeye Tayari kafa kwa ajili ya dhambi zetu msalabani.

Tumsifu bwana.

hatunahaja ya kufanya jema, tayari Bwana kafia dhambi zetu msalabani.
KIFO cha laana kwa ajili ya WAGALATIA woote hahahaaaa

cc Ritz MZIMU bigshow
 
Last edited by a moderator:
mkuu nasikia shehe farid na mselem wamelawatiwa.

Unauliza au unashangaa ? !..........Mapadri wamelawiti watoto Altareni hali yakuwa Papa anajua na UN wanawalaani ! Remote
 
Last edited by a moderator:
wewe ndio usijitoe ufahamu, marekani hana tatizo na saudi (ufalme wa kiislamu), hana tatizo na Qatar...kama tatizo ni uislamu tu kwa nini aende kupigana na waislamu wachovu kama Afghanistani? usijifanye kusahau kuwa Taliban walimhifadhi Osama ambaye alikuwa na vita na marekani.
Pili, Watu wa afghanistani ambao wanawakilishwa na serikali ya Karzai HAWATAKI utawala wa kiislamu wa Talibani, Afghanistan kama nchi ina uwezo wa kuomba msaada toka kokote kule kupambana na magaidi. Hata somalia, wasomali majority HAWAWATAKI al-shabab, hata nigeria waislamu majority HAWAWATAKI Boko-haram, Saudia kwenyewe HAWATAKI Al-Qaeda....ila wewe unajitoa ufahamu hapa JF unatetea magaidi

Ndio tatizo lenu Wagalatia, wavivu wa kushughulisha akili zenu. Mmekaa kama madodoki, kila uchafu mnavyonza. Nani alikwambia Saudia Arabia ni Nchi ya Ufalme wa Kiislaam !?
Ndio maana mnanunua picha ya mzungu kisha mnaiweka sebuleni na kunadi ni Mwana wa mungu !
Nani kakwambia sijui Somalia hawataki hivi, sijui Afghanistan hawataki vile !Kwa taarifa yako kuna mtu anaitwa Abdullah Abdullah, waziri wa mambo ya nje wa zamani wa Afghanistan, alimshinda katiika uchaguzi Karzai, akaibiwa kura na kulazimishwa na Marekani akubali Karzai amalizia muhula wake. Juzi kashinda tena, wamemuibia kura tena. Ukweli ni kuwa Marekani hawamtaki na si Waafghani !
Umewahi kujiuliza Boko Haram wanapata wapi silaha kubwa kubwa mpaka wanajeshi wa Nigeria wanakimbia uwanja wa mapambano ?
Boko Haram wanamiliki magari ya deraya, RPG's, Malori ya Kijeshi, Pick Up 4x4, Pikipiki, aina mbali mbali za mabomu.
Tafakari kidogo na ishughulishe akili yako !
 
Wewe na jamaa zako akina mgen Ishmael kmbwembwe kila mkifanya ibada jumapili mnakunywa damu ya mungu wenu, your realy blood sucker !
Ni kweli,.. mungu wa wakristo alijitoa kuuliwa na mayahudi ili watu waokolewe na dhambi... hii ni imani ya wakristo. Sasa hao wanaowasilimisha watu kwa mtutu wa bunduki au kuwakata vichwaa na kuwapa watoto kuviburuza kwenye mchanga nao ni imani ya kiislaam au hao ni washenzi tu?
 
Watu wamemuua Yesu, nini Mmarekani !?........na wakaweka siku kuu na kudai dhambi zoote wamemrundukie yeye !
Ndio imani yao, mungu kawabebea dhambi zao; Shida sasa nyie kina Ally Kombo wenzenu vichaa wa imani dunia sasa imevaa njuga. Kila mtu aheshimu mungu wa mwingine na hata wale wasiokua na mungu waheshimiwe. hao vichaa wanaosilimisha watu kwa bunduki mwisho maiti zao zitatupwa baharini na kua chakula cha samaki kama osama bin laden.
 
Kama nawaona vilee ! mnaingia mbinguni kama mnaenda Dar Live, maaana dhambi zoote mmemkabidhi mungu wenu.
Mnaingia huku mnaimba Yesu nibebe na ule utamu wa Yesu !
Ugalatia rahaaaaaaa ! kmbwembwe
 
Last edited by a moderator:
Kama nawaona vilee ! mnaingia mbinguni kama mnaenda Dar Live, maaana dhambi zoote mmemkabidhi mungu wenu.
Mnaingia huku mnaimba Yesu nibebe na ule utamu wa Yesu !
Ugalatia rahaaaaaaa ! kmbwembwe
10580087_322977807869948_7076933796359076590_n.jpg
 
Kama nawaona vilee ! mnaingia mbinguni kama mnaenda Dar Live, maaana dhambi zoote mmemkabidhi mungu wenu.
Mnaingia huku mnaimba Yesu nibebe na ule utamu wa Yesu !
Ugalatia rahaaaaaaa ! kmbwembwe

shekh vipi, niko hapa kwa masawe leo mbona sikuoni kwenye KITIMOTO? halaf hii ya leo ni tamu balaa usikose shekh wangu, au nikuwekee oder kabisa? najuaga wewe oder yako huwa ni kilo mbili na ndizi nne. njoo utie japo sunah usikose shekh
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom