Mwanaume zingatia haya mambo madogo

[emoji1635]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubali master sijakuangusha hata kimoja
 
Hapo kwenye kulala,,Nililala na mshkaji ghetto kuja kishtuka usingzin naona jamaa kabinuka kiuno kipo juu. Asubuhi nikamtimua[emoji855]
Wanaume ni kiumbe kinatoweka

Pole kwa kushuhudia hicho kituko
 
Hapo kwenye kulala,,Nililala na mshkaji ghetto kuja kishtuka usingzin naona jamaa kabinuka kiuno kipo juu. Asubuhi nikamtimuaπŸ€’
πŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈ
 
As a man ishi maisha yako .ukitaka kufrahisha jamii uta umia
 
niliwai kubahatika kuingia mahabusu kahama kama mtuhumiwa miaka ya 2012.
sikuamini nilichoona wanaume wa kisukuma hawatofautishi chupi za kiume na kike!
wanavaa zozote bila hofu, hadi bikini!
sijui na wanawake ni hivyo hivyo au la!
πŸ˜‚
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…