Mwanaume zingatia haya mambo madogo

Haijalishi.

Hata umbembeleze mke wako vipi.
Atagongwa tu nje.

Usijisumbue Mkuu.
 
Hivyo ni vigezo ili uonekane wewe ni "macho man" mbele ya wanaokuzunguka , lakini siyo vipimo vya uanaume wa kweli. Ni ujinga mtupu. Kama ingekuwa ndivyo, basi kila mwanaume wa kweli angetakiwa kupitia mafunzo ya ukomandoo. Kama unataka uonekane wewe ni "macho man" wa kweli, nenda gerezani ukaonyeshe how macho you are mbele ya wanaume wenzio.
 
Sikupingi mkuu. Ngoja tuongezee


13. Mwanaume kamili haoi au kufanya maisha na single maza
●Hiyo ni kujishusha thamani ni sawa na kujiunga kwenye familia ya mwanaume mwenzako. Mwanaume anatakiwa aanzishe familia yake mwenyewe na ndivyo Mungu anataka

14. Mwanaume kamili haudumii demu au mpenzi anamhudumia mke tu
●Baba ndiye mwenye jukumu la kumtunza binti yake mbaye hajaolewa

15. Mwanaume anapiga simu moja tu na kama ni meseji ni moja tu kwa manzi.
●Kama manzi hapigi au hajibu haina kupiga tena au kudouble text aanze yeye kukutafuta

16. Anajitanguliza yeye mwenyewe, familia yake na marafiki zake badala ya mwanamke/mpenzi/girlfriend

17. Mwanaume ha-date na mwanamke ambaye mchango wake ni K tu kwenye mahusiano

18. Hamrudii ex wake wala kumsamehe mwanamke msaliti

19. Kama sio bikira haina kulipa mahari

20. Mwanaume kamili hatumii snapchat, TikTok na wala hapost status kwenye WhatsApp

21. Maneno machache vitendo vinaongea

22. Mwanaume anasave zaidi kibunda chake kuliko matumizi

23. Mwanaume kamili ni mpambanaji yuko consistent in hustling
 
Dah hapo kwenye kujamba maamaee yani demu wangu ananivumiliaga kwasababu akikumbuka moto naompelekea nakumfikisha kileleni anavumilia tu harufu na kishindo. Maanake siyo mjambo wa kitoto maamaee ni kishindo haswa with devastating impact mbrrr mbrrrr mbrr MBRRRRRR

Mufti kuku The Infinity Lamomy adriz
 
Wengine ukiamka tu ukatembea,tayari ni kosa la kiufundi kutakucha uko zako unafikiria refa alikataaje goli la yanga???
 
Huwezi kuwa mwanaume kamili ukawa huna sehemu kubwa ya sifa hizl,ukikosa nyingi ya sifa hizo ndipo pale utasikia watu wanasema una mambo ya kike kike.

Hayafundishwi popote haya,ila yanaambukizwa kutoka kwa mwanaume huyu kwenda kwa yule,ukikulia mazingira ya wanaume wanoingia mapaka mcity na pensi za juu ya magoti,kila kitu utaona ni sawa kwa mwanaume.

Nyongeza,mwanaume hajisikii uvivu wala uzito kuwa na haiba ya kiume,hata toto lako la kiume ukiliambia mwanaume halii hovyo,linameza hiyo na kuifanyia kazi sio kuleta utetezi.
 
Chai
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…