Mwanaume wiki hufui boxer

Mwanaume wiki hufui boxer

Ni huyo mwanaume uliyekutana naye ni mchafuuu mimi navaa boxer kila ninapooga nilazima nibadrishe sasa inategemea nimeoga mara ngapi ila usi generalize wanaume wote nihuyo uliyekutana naye kama ni wamgodo nakubaliana naye kwani kazi zao hawana nafasi!Sawa taru hata nyie nina record yenu Brazia nyie mnavaa wiki kataa??hata wewe uliyovaa siyo yaleo!

yote ni usafi tu ucjiteteee. ....kubali tu hali halisi kuwa nyinyi baadhi yenu mtaaabani kiusafi,uzuri limekugusa eeeh?! so kaaanze kufua ryt nw
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaa... naona visasi vinalipwa...
Sasa binti kucha mpaka nyayo unasafishwa na machinga, huko ndani pana hali gani?, na wewe utajiweka kwenye kundi la wasafi kweli?

Hahahahahah...hapo Mtumishi umenichekesha sana...alaf sku izi wanasafishwa hadi miguu...
 
yote ni usafi tu ucjiteteee. ....kubali tu hali halisi kuwa nyinyi baadhi yenu mtaaabani kiusafi,uzuri limekugusa eeeh?! so kaaanze kufua ryt nw
Mimi siyo wa hivyo pole but wewe niko na uhakika kuwa Brazia yako siyo ya leo!BTW mimi nikivaa boxer naweka kwenye sehemu ya nguo chafu sasa utaona kuwa mimi sikama mwanaume wako!
 
enzi zile bado sijakua na wakuomba mechi za ghafla nlikua najivalia wiki kwa raha zangu... lakini sikuhizi nikioga nabadili tu maana lolote laweza kutokea muda wowote
 
enzi zile bado sijakua na wakuomba mechi za ghafla nlikua najivalia wiki kwa raha zangu... lakini sikuhizi nikioga nabadili tu maana lolote laweza kutokea muda wowote

hahaha lol eti ilikuwa kawaidaa
 
Kwa hiyo tulio huku meru mlimani kwenye baridi tunaruhusiwa kuvaa boxer siku zaidi ya moja?
 
Huo utakuwa ni uchafu.....

Mbona hata kokwa za korodani zinaweza toa bad smell usipozingatia usafi.
 
eti "joto letu la dar"
hivi wanajf wote mnaishi dar??
 
eti "joto letu la dar"
hivi wanajf wote mnaishi dar??

ha ha ha umenifanya nicheke hadi "wafanyakazi wenzangu hapa ofisini wananishangaa" uuupsss hivi kumbe ni usiku na hiyo kauli ni ya mchana ha ha ha jf raha
 
Uwi wiki boxer aijui maji? hahahahaha siku ikikutana na maji lazima ikatike katike kwa uwozo lol!
 
Back
Top Bottom