Mwanaume wiki hufui boxer

Mwanaume wiki hufui boxer

pole sana kwa kukutana na wanaume wa aina hio maanake AISIFIAE MVUA IMEMNYEA....
ungefanya la maana umnunulie huyo jamaa yako boxers nyingi kidogo maanke ni wazi ana boxers si zaidi ya tatu....
na umwambie kuwa asirudie kuvaa boxer abadili kila siku,POLE SANA KWA YALIYOKUKUTA

hapa unapoteza muda tu maanake sidhani kama hao type yako wamo humu, humu tumo watu tuna boxers za kuvaa MWEZI MZIMA BILA KURUDIA tena designers sio za CHINGA vitu kama CK,PHAT FARM,PRINGLE,NEXT etc na nisikufiche huwa nazirundika maanake siwezi kufua kila siku nafua baada ya wiki au wiki mbili!!!!!!

asante sana......kumbuka kwa matendo icje ikawa maneno...kwa namna moja au nyingine itakuwa imekugusa bila shaka
 
I beg to differ. Usafi ni jukumu la mtu binafsi. Huo utegemezi wa kufanyiwa Na gf/wake zetu ndio unatuumiza. Siku akikosekana unaonekana kituko mtaani. Kwani wazazi hawakutufundisha kujitegemea katika usafi wa miili na mavazi yetu?
Untill that day....things has to be done for him!
Hata kazini mtu asipokuwepo haimaanishi kazi isifanyike Mkuu!
kama hata kuwepo things has to be done in advance!
 
Unawapiga watu chobo wakiwa wanaoga, wakati anavua ngu wewe unakuwa wapi na kuona hayo yote labda useme unabadilisha mmoja baada ya mwingine.

sio chabo mkuu..vijana wanavaa kata kei..kuonesha nguo zao za ndani au we hujui hilo
 
habari zenu wanajukwaa...mimi nna somo kwa hawa ME,hivi usafi wa nguo ya ndani kila cku ni kwa KE peke yao au? mana kiroja cha mwaka janamme zma linasema kutokana na maumbile yetu sisi ME tukivaaa boxer hata cku tatu ni sahihi...mi hoi kuckia hivyo,swali nyinyi hamtoi uchafu wa mwili au vp wenzetu..hamhisi uvundo..haijalishi hali ya hewa ikoje..usafi unaitajika kila wakati jamaniii,na si kwa galz tu.Jitu lajitia umaradadi nje kumbe boxer nayo ni shida kufua kutwaa unasogoa kijiweni hata mda wa kuswafi nguo yako ya ndani ni shidaaaaah,inasikitisha kwa kweli.Kumbuka fangasi inakunyemelea mda c mfupi.other wise uwe na pants as galz nyingi kama ni mvivu wa kufua kila cku..chagua wikiend ufue rundo lako..boxer moja then kurudia na hili joto letu la Dar ndo usiseme kitu pwiyaaaaa!!! lol ni hayo tu plz gyz be smart in and out.

Jamani usiwe ugomvi basi....ambao hawafui watafua, Kilambalambila ameshasema, basi kwa heshima na taadhima, tuwaombe radhi akina Lady Chagga na wenzie, kwa kuwa imewaumiza sana, na inawezekena wamejaribu kuvumilia leo wameshindwa. na mkeo akikwambia humridhishi usikimbilie kulia, dawa ni kuongeza ujuzi,

Kuanzia leo tutakuwa tunavaa Boxer BM150 na SANLG zikiwa swaafi, na hatutatenga za kugegedana kama na nyie hamtatenga.

Kwa msamaha huu basi ninaomba hii thread iishie hapa.
 
Hahaaaa... naona visasi vinalipwa...
Sasa binti kucha mpaka nyayo unasafishwa na machinga, huko ndani pana hali gani?, na wewe utajiweka kwenye kundi la wasafi kweli?
 
sio chabo mkuu..vijana wanavaa kata kei..kuonesha nguo zao za ndani au we hujui hilo

Ahaa, sasa nimekupata Mkuu, lakini hao wa kata kei, sio boxer tu ndizo chafu, wengine ukifika vyumbani kwao ndo utaona soksi, mashuka na foronya zilivyobadilika rangi zake, ukiingia chumbani kwao lazima uvae nguo kama zile za wahudumu wa vituo vya Ebola.
 
asante sana......kumbuka kwa matendo icje ikawa maneno...kwa namna moja au nyingine itakuwa imekugusa bila shaka

yeah kilichonigusa ni kwamba KUNA WANAUME WANAVAA BOXER WIKI NZIMA BILA KUFUA.....mimi ni mwanaume na nimesikitika sana kwa hali hio......but trust me i only wear a boxer for 12 hrs!!! na sirudii.....asubuhi mpaka jioni usiku nalala na pj/bukta kubwa
 
yeah kilichonigusa ni kwamba KUNA WANAUME WANAVAA BOXER WIKI NZIMA BILA KUFUA.....mimi ni mwanaume na nimesikitika sana kwa hali hio......but trust me i only wear a boxer for 12 hrs!!! na sirudii.....asubuhi mpaka jioni usiku nalala na pj/bukta kubwa

ili hewa ipite
 
Hua wanaboa sana ukizingatia pia hakuna mwanamme anayeosha uume baada ya kukojoa boxa inabaki na mikojo sasa ikifikia wiki ndo balaa boxa kama choo mijitu mizima ovyooo
 
Ni huyo mwanaume uliyekutana naye ni mchafuuu mimi navaa boxer kila ninapooga nilazima nibadrishe sasa inategemea nimeoga mara ngapi ila usi generalize wanaume wote nihuyo uliyekutana naye kama ni wamgodo nakubaliana naye kwani kazi zao hawana nafasi!Sawa taru hata nyie nina record yenu Brazia nyie mnavaa wiki kataa??hata wewe uliyovaa siyo yaleo!
 
Last edited by a moderator:
Ahhhh Taruuuu.......
1. Boxer haijafuliwa ukungu si ukungu halafu anakuambia umnyonye pata picha...
2. Boxer haijafuliwa halafu amepiga mlegezoo







Habari zenu wanajukwaa.

Mimi nina somo kwa wanaume, hivi usafi wa nguo ya ndani kila siku ni kwa mwanamke peke yake au?

Kiroja cha mwaka mwanamme mzima anasema kutokana na maumbile yetu sisi wanaume tukivaaa boxer hata siku tatu ni sahihi.

Niliposikia hivyo nilijiuliza swali nyinyi hamtoi uchafu wa mwili au vipi wenzetu hamhisi uvundo.

Haijalishi hali ya hewa ikoje.

Usafi unahitajika kila wakati jamani na si kwa girls tu, jitu lajitia umaridadi nje kumbe boxer nayo ni shida kufua kutwaa unasogoa kijiweni hata muda wa kusafisha nguo yako ya ndani ni shida.

Inasikitisha kwa kweli, kumbuka fangasi inakunyemelea muda si mfupi.

Other wise uwe na pants nyingi kama ni mvivu wa kufua kila siku.

Chagua wikiend ufue rundo lako.

Boxer moja then kurudia na hili joto letu la Dar ndo usiseme kitu pwiyaaaaa

Ni hayo tu please guys be smart in and out.
 
Ahhhh Taruuuu.......
1. Boxer haijafuliwa ukungu si ukungu halafu anakuambia umnyonye pata picha...
2. Boxer haijafuliwa halafu amepiga mlegezoo

yaaani mtu yu hai kivundo hatari.....rangi nyeupe inakuwa ya ugoro
 
Back
Top Bottom