Mwanaume wiki hufui boxer

Mwanaume wiki hufui boxer

Men were made to be managers(getting things done through others)....why should i fua? wakina Hawa hawapo? wameisha? Hata kama sijaoa they will have to do that for me as long as natafuta wanachokitaka!
I beg to differ. Usafi ni jukumu la mtu binafsi. Huo utegemezi wa kufanyiwa Na gf/wake zetu ndio unatuumiza. Siku akikosekana unaonekana kituko mtaani. Kwani wazazi hawakutufundisha kujitegemea katika usafi wa miili na mavazi yetu?
 
halooooo unamkuta mkaka smart ya mavazi ya nje ngoja avue sasa haujui hii boxer nyeupe au rangi ya maziwa ni shaghalabagala tuu... Na sio boxer tu hata kunyoa nywele za kwapanii kaaa usiombe avae singilendi na anapanda daladala jaman mnatuua . Unakuta mkaka mzuri hehe ngoja anyanyue mikono utaomba konda akwambie we rudi nyuma.

Unawapiga watu chobo wakiwa wanaoga, wakati anavua ngu wewe unakuwa wapi na kuona hayo yote labda useme unabadilisha mmoja baada ya mwingine.
 
Wengi hawafui nguo zao za ndani wanavaa week nzima na kwapani na downstairs hawanyoi yani kuna kua kama misitu ya Amazoni harufu lake sasa unaweza kuugua kabisa badilikeni na muwe wasafi
 
habari zenu wanajukwaa...mimi nna somo kwa hawa me,hivi usafi wa nguo ya ndani kila cku ni kwa ke peke yao au? Mana kiroja cha mwaka janamme zma linasema kutokana na maumbile yetu sisi me tukivaaa boxer hata cku tatu ni sahihi...mi hoi kuckia hivyo,swali nyinyi hamtoi uchafu wa mwili au vp wenzetu..hamhisi uvundo..haijalishi hali ya hewa ikoje..usafi unaitajika kila wakati jamaniii,na si kwa galz tu.jitu lajitia umaradadi nje kumbe boxer nayo ni shida kufua kutwaa unasogoa kijiweni hata mda wa kuswafi nguo yako ya ndani ni shidaaaaah,inasikitisha kwa kweli.kumbuka fangasi inakunyemelea mda c mfupi.other wise uwe na pants as galz nyingi kama ni mvivu wa kufua kila cku..chagua wikiend ufue rundo lako..boxer moja then kurudia na hili joto letu la dar ndo usiseme kitu pwiyaaaaa!!! Lol ni hayo tu plz gyz be smart in and out.

na wewe acha uzoba... Wiki nzima unamchungulia tu kama ameifua au lah.. Na wewe acha kufuga uchafu mfulie mumueo bana.
 
Wengi hawafui nguo zao za ndani wanavaa week nzima na kwapani na downstairs hawanyoi yani kuna kua kama misitu ya Amazoni harufu lake sasa unaweza kuugua kabisa badilikeni na muwe wasafi

tatizo DAWASCO wanatoa mgao wa maji sana
 
Bora sisi kama...beberu nyie ni zaidi ya vibudu....sometimes nzi wa kijani anawafata.....

lol usiombe mvua imnyesheeee na huo huo uvundo alouvaaa, then ajisahau imekauka..ni balaaa kitu kinachotoka ni bomu afu awe kwenywe kijimsongamano kama daladala hahahaha utasema ng'onda hiyo harufu..niwaibie siri wadada wanapenda usafi asilimia kubwa ...we hata kama c handsome jiweke smart as much u can dah hata kama ulikuwa haupo kwenye oblangata yake basi kwa kipindi kadhaa utajuepo...
 
usafi muhimu jamani.... usafi unaanzia ndani then nje kwafata....
 
Mi nadhani maumbile yao ndio yanayowadanganya kujiona ni watu wanaostahili kurudia rudia nguo za ndani.

Pia kuna hivi vivulana hivi vinavyopenda kuvaa milegezo navyo havijuagi kufua hizo boxer kwan unaweza ukapatwa na mshangao na kushindwa kuelewa alichovaa kina rangi gani.
 
habari zenu wanajukwaa...mimi nna somo kwa hawa ME,hivi usafi wa nguo ya ndani kila cku ni kwa KE peke yao au? mana kiroja cha mwaka janamme zma linasema kutokana na maumbile yetu sisi ME tukivaaa boxer hata cku tatu ni sahihi...mi hoi kuckia hivyo,swali nyinyi hamtoi uchafu wa mwili au vp wenzetu..hamhisi uvundo..haijalishi hali ya hewa ikoje..usafi unaitajika kila wakati jamaniii,na si kwa galz tu.Jitu lajitia umaradadi nje kumbe boxer nayo ni shida kufua kutwaa unasogoa kijiweni hata mda wa kuswafi nguo yako ya ndani ni shidaaaaah,inasikitisha kwa kweli.Kumbuka fangasi inakunyemelea mda c mfupi.other wise uwe na pants as galz nyingi kama ni mvivu wa kufua kila cku..chagua wikiend ufue rundo lako..boxer moja then kurudia na hili joto letu la Dar ndo usiseme kitu pwiyaaaaa!!! lol ni hayo tu plz gyz be smart in and out.

Nijuavyo Ni Kwamba KENDE au ( MBUPU ) Zetu Sisi Wanaume Zinanuka Mno Kama Usafi Wa Mwili Na PICHU Zetu Hautazingatiwa Basi Kuna Hatari Kubwa Sana. Na Ni Kweli Sisi MIDUME Wengi Ni Wavivu Kuzifua Hizo Boksa Zetu Na Hata Kama Tukizinunua Tunanunua Za Rangi Ya Bluu Na Nyeusi Na Wengi Wetu Tunaogopa Kununua Za Rangi Nyeupe Kwa Sababu Ya UDAMPO ( UCHAFU ) Wetu. Habari Ndiyo Hiyo!
 
yaan wewe umefanya utafiti kwa mmoja basi ndo ushatoa conclusion kwa wote!!!!
mbona kuna wanawake ukikaa nao karibu wanatema harufu ya matiti ila hatuyasemi humu coz sio wote niliokutana nao!!!!
tupe tafiti yako vizuri umekutana na wanaume wangapi wa hivyo!!!
 
habari zenu wanajukwaa...mimi nna somo kwa hawa ME,hivi usafi wa nguo ya ndani kila cku ni kwa KE peke yao au? mana kiroja cha mwaka janamme zma linasema kutokana na maumbile yetu sisi ME tukivaaa boxer hata cku tatu ni sahihi...mi hoi kuckia hivyo,swali nyinyi hamtoi uchafu wa mwili au vp wenzetu..hamhisi uvundo..haijalishi hali ya hewa ikoje..usafi unaitajika kila wakati jamaniii,na si kwa galz tu.Jitu lajitia umaradadi nje kumbe boxer nayo ni shida kufua kutwaa unasogoa kijiweni hata mda wa kuswafi nguo yako ya ndani ni shidaaaaah,inasikitisha kwa kweli.Kumbuka fangasi inakunyemelea mda c mfupi.other wise uwe na pants as galz nyingi kama ni mvivu wa kufua kila cku..chagua wikiend ufue rundo lako..boxer moja then kurudia na hili joto letu la Dar ndo usiseme kitu pwiyaaaaa!!! lol ni hayo tu plz gyz be smart in and out.

Sasa si ungeniambia siku ile, mbona mchezo wenyewe uliufurahii na kushukuru, ilikuwaje hilo la boxer tusirekebishane pale pale hadi uje kunitangaza huku.
 
Nijuavyo Ni Kwamba KENDE au ( MBUPU ) Zetu Sisi Wanaume Zinanuka Mno Kama Usafi Wa Mwili Na PICHU Zetu Hautazingatiwa Basi Kuna Hatari Kubwa Sana. Na Ni Kweli Sisi MIDUME Wengi Ni Wavivu Kuzifua Hizo Boksa Zetu Na Hata Kama Tukizinunua Tunanunua Za Rangi Ya Bluu Na Nyeusi Na Wengi Wetu Tunaogopa Kununua Za Rangi Nyeupe Kwa Sababu Ya UDAMPO ( UCHAFU ) Wetu. Habari Ndiyo Hiyo!

mkuu tafadhali hebu edit tena!!!!
 
habari zenu wanajukwaa...mimi nna somo kwa hawa ME,hivi usafi wa nguo ya ndani kila cku ni kwa KE peke yao au? mana kiroja cha mwaka janamme zma linasema kutokana na maumbile yetu sisi ME tukivaaa boxer hata cku tatu ni sahihi...mi hoi kuckia hivyo,swali nyinyi hamtoi uchafu wa mwili au vp wenzetu..hamhisi uvundo..haijalishi hali ya hewa ikoje..usafi unaitajika kila wakati jamaniii,na si kwa galz tu.Jitu lajitia umaradadi nje kumbe boxer nayo ni shida kufua kutwaa unasogoa kijiweni hata mda wa kuswafi nguo yako ya ndani ni shidaaaaah,inasikitisha kwa kweli.Kumbuka fangasi inakunyemelea mda c mfupi.other wise uwe na pants as galz nyingi kama ni mvivu wa kufua kila cku..chagua wikiend ufue rundo lako..boxer moja then kurudia na hili joto letu la Dar ndo usiseme kitu pwiyaaaaa!!! lol ni hayo tu plz gyz be smart in and out.

pole sana kwa kukutana na wanaume wa aina hio maanake AISIFIAE MVUA IMEMNYEA....
ungefanya la maana umnunulie huyo jamaa yako boxers nyingi kidogo maanke ni wazi ana boxers si zaidi ya tatu....
na umwambie kuwa asirudie kuvaa boxer abadili kila siku,POLE SANA KWA YALIYOKUKUTA

hapa unapoteza muda tu maanake sidhani kama hao type yako wamo humu, humu tumo watu tuna boxers za kuvaa MWEZI MZIMA BILA KURUDIA tena designers sio za CHINGA vitu kama CK,PHAT FARM,PRINGLE,NEXT etc na nisikufiche huwa nazirundika maanake siwezi kufua kila siku nafua baada ya wiki au wiki mbili!!!!!!
 
inamaana huyu mtoa maada ni ke?

Naam mkuu, hebu tazama hizi sehemu nilizokoleza kwa rangi nyekundu...

...mimi nna somo kwa hawa ME,hivi usafi wa nguo ya ndani kila cku ni kwa KE peke yao au? mana kiroja cha mwaka janamme zma linasema kutokana na maumbile yetu sisi ME tukivaaa boxer hata cku tatu ni sahihi...mi hoi kuckia hivyo,swali nyinyi hamtoi uchafu wa mwili au vp wenzetu..hamhisi uvundo..haijalishi hali ya hewa ikoje..usafi unaitajika kila wakati jamaniii,
 
Mimi mka wikibili ninayo tu. Hahahaha
jichunguze looh utakuwa na shida sana.....afu ooh dem cmuelewi huyu mwanzo tulikuwa sawa lkn saiv dah...kaa tafakari ilo nalo laweza kuwa tatizo kaka.
 
Back
Top Bottom