Mpe sumu km inafaaNinashindwa nikuweke kundi gani
Nashindwa nikuite jina gani
Nashindwa nikulipizie kisasi gani
Nashindwa nikufanye nini
Nashindwa nikueleweje
Nashindwa nikuchukulie uamuzi gani
Ahhhhhh Mwanaume wewe basi tuuu yaani aaggrrrrrr..................NIMECHOKA........
Nilifikiri kamchezo kumbe mamito una maprobleme makubwa, please take time to think good things alizokufanyia pamoja na bad things alizokufanyia kama mema yanazidi mabaya ni wazi kateleza mpe muda wa kurudi ila kama linahusu usaliti ktk ndoa naomba utumie hekima kwani watoto wanahitaji malezi na pia kuna magonjwa hatari ya UKIMWI.
Kuna mmoja kanipigia sasa hivi ana nyege hadi machozi yanatoka...Nyege zikizidi huwa ni shida tupu.
Ninachowapendea wanawake viapo...!!! lakini njoo baada ya kupewa maneno laini uone anavyofanya kama si yule aliyetoa viapo... HEBU KUMBUKA WANAPOINGIA "LEBA" KWA AJILI YA UZAZI....., LAKINI BAADA YA MUDA MFUPI MIMBA TENANinashindwa nikuweke kundi gani
Nashindwa nikuite jina gani
Nashindwa nikulipizie kisasi gani
Nashindwa nikufanye nini
Nashindwa nikueleweje
Nashindwa nikuchukulie uamuzi gani
Ahhhhhh Mwanaume wewe basi tuuu yaani aaggrrrrrr..................NIMECHOKA........
Stress niliyonayo naona hata nikiingia hapa kuna watu wananipa faraja kidogo
Si umeona hata yeye mwenyewe kisha kubali, sema ana ona aibu kusema kautamania :biggrin1:Ha ha ha ha.. Kama kuna kaukweli..
Nilijua tu lazima wa call tu, hata mimi naona simu ina ita naona dalili imekuwa mbaya sana :biggrin1:Kuna mmoja kanipigia sasa hivi ana nyege hadi machozi yanatoka...
kipaji halisi kama na wewe ni wa jf, basi na we umo kundini! hujambo lakini mdogo wangu??...mh..wakoje.. cacico...hata mimi..?
Ha ha ha ha kuna moja umepatia kabisa ila nyingine umekosea
mzima dada ake...mimi kwa tafsiri yako ..SIO...kipaji halisi kama na wewe ni wa jf, basi na we umo kundini! hujambo lakini mdogo wangu??