Mwanaume wewe, basi tuu...

Mwanaume wewe, basi tuu...

Desidii

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2007
Posts
1,201
Reaction score
86
Ninashindwa nikuweke kundi gani
Nashindwa nikuite jina gani
Nashindwa nikulipizie kisasi gani
Nashindwa nikufanye nini
Nashindwa nikueleweje
Nashindwa nikuchukulie uamuzi gani

Ahhhhhh Mwanaume wewe basi tuuu yaani aaggrrrrrr..................NIMECHOKA........
 
sasa wakati mmnachoshana hamjatushirikisha sasa yamewashinda mnayaleta huku yanamaslahi gani kwa taifa haya
 
kama umechoka si ufanye tu MASEPEO bi dada...au ndio ulishakiri kwamba mtaishi kwa shida na raha!!!


Ninashindwa nikuweke kundi gani
Nashindwa nikuite jina gani
Nashindwa nikulipizie kisasi gani
Nashindwa nikufanye nini
Nashindwa nikueleweje
Nashindwa nikuchukulie uamuzi gani

Ahhhhhh Mwanaume wewe basi tuuu yaani aaggrrrrrr..................NIMECHOKA........
 
kama umechoka si ufanye tu masepeo bi dada...au ndio ulishakiri kwamba mtaishi kwa shida na raha!!!
mwambie apake polonium kwenye naniliu yake alafu amwambie jamaa azame chumvini hahahahahahah watu8
 
Last edited by a moderator:
Funguka tuna kazi nyingi dada,hatuna muda wa kuanza kuwaza
 
Ninashindwa nikuweke kundi gani
Nashindwa nikuite jina gani
Nashindwa nikulipizie kisasi gani
Nashindwa nikufanye nini
Nashindwa nikueleweje
Nashindwa nikuchukulie uamuzi gani

Ahhhhhh Mwanaume wewe basi tuuu yaani aaggrrrrrr..................NIMECHOKA........

pole. ulipaswa uyajue hayo kabla hujajitoa kwake. achana naye, usirudie kosa.
 
Pole umelivaga li playboy. Ndio hivyo tena, ulizuzuka na nguo zake za kuazimana.
 
Back
Top Bottom