Mwanamalundi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,126
- 1,440
Ninashindwa nikuweke kundi gani
Nashindwa nikuite jina gani
Nashindwa nikulipizie kisasi gani
Nashindwa nikufanye nini
Nashindwa nikueleweje
Nashindwa nikuchukulie uamuzi gani
Ahhhhhh Mwanaume wewe basi tuuu yaani aaggrrrrrr..................NIMECHOKA........
Ona sasa huyu naye. Sasa tutachangia kitu gani hapa? mada haileweki. Tutakusaidia nini sasa hapa? Kama huna cha kuandika nyamaza, soma michango ya mwanakijiji.