Maliza kazi kwanza uje nikueleweshe sorry
Weweeee... acha tu ... wenzio tushapata stress za mtihani, kiasi kwamba ukiambiwa tu PENS DOWN, unazimwaga manii kwenye chupi pwaaaa....Sidhani kama nyege na stress zinakwenda pamoja
If you sit by the river long enough, you will see the body of your enemy float by
Moral ya msemo huo hapo juu..,hakuna shida ya ku-revenge kama mtu amekutenda na hii ni tabia yake basi ataendelea kutenda na kutendeana na mwisho wa siku ataharibikiwa bila hata wewe kusumbuka
Nyingi sana yaani natamani hata kunywa sumu
Mnhhh, haya mambo ya aliye juu mngoje chini yashapitwa na wakati. Kisasa ni kumfuata huko huko juu. Usije ukasubiri milele"If you sit by the river long enough, you will see the body of your enemy float by"
Moral ya msemo huo hapo juu..,hakuna shida ya ku-revenge kama mtu amekutenda na hii ni tabia yake basi ataendelea kutenda na kutendeana na mwisho wa siku ataharibikiwa bila hata wewe kusumbuka
...mh..wakoje.. cacico...hata mimi..?hao ndiyo wakaka wa jf! pole mdogo wangu yana mwisho!
Hata hiyo hamu ya kupoozwa ninayo sasa??? Acha tu
Mnhhh, haya mambo ya aliye juu mngoje chini yashapitwa na wakati. Kisasa ni kumfuata huko huko juu. Usije ukasubiri milele
Kunyamza kimya nalo ni jibu