Masela wenyewe ndio hawa wakina Man Fongo?? Hapo lazima atafunwe tuUkweli mtupuu...ni sawaa mkigombana na demu wako rafiki akoo kama ni fisi atamlaa tuu maana utamwambia na lazima atajidai anamfariji kumbe ndo aliwaaa hivyoo yakheee..

Alafu madem wakiwa katika hali kama hiyo wanakuwa kama watoto yani, wanapenda kudekezwa na kubembelezwa so ukifanya hivo vitu utajikuta unatunukiwa zigo bila kutarajiaHapo huo mpirA ukutane na mafundi wa mipira iliyokufa,,utasimuliwa magoli
mhhhh, shem shemTehteh... kwa hilo nitafikiria shem
Ila pia Inategemea na muktadha wa tukio
yes bby thought maybe something caught you up on your wayHamna tatizo lovely... You know me well
Teh teh just a joke bro don't mindHapo WCB hakuna mkalimani?? Kwani zari kesharudi south?
STUNTER unaakili nyingi sana mpaka zimekuzidiaMilele na Milele usimruhusu Msichana wako
amueleze Matatizo yake Mvulana Mwingine hata
kama ni kwa kisingizio cha rafiki.
Mwanzoni atampa A Shoulder to lean on,lakini
Baadae atampa A Dick to ride on.
Mwanamke mwenye Stress ni vulnerable and Weak and whoever gives her shelter is likely to
cause more problems to your relationship.
Kama una matatizo na Ur Girlfriend make sure
mnayamaliza mapema mkiwa wawili kabla
hajaanza kutafuta wa kumwambia,lasivyo kuna
mtu atadandia matatizo na kuiba asali yako...Ni hayo tu
Yeah true sometimes hichi kigezo cha urafiki na ushemeji kinapeperusha kipepeo wako aisee halaf mbaya zaidi ni msela wako wa karibuMilele na Milele usimruhusu Msichana wako
amueleze Matatizo yake Mvulana Mwingine hata
kama ni kwa kisingizio cha rafiki.
Mwanzoni atampa A Shoulder to lean on,lakini
Baadae atampa A Dick to ride on.
Mwanamke mwenye Stress ni vulnerable and Weak and whoever gives her shelter is likely to
cause more problems to your relationship.
Kama una matatizo na Ur Girlfriend make sure
mnayamaliza mapema mkiwa wawili kabla
hajaanza kutafuta wa kumwambia,lasivyo kuna
mtu atadandia matatizo na kuiba asali yako...Ni hayo tu
Alafu madem wakiwa katika hali kama hiyo wanakuwa kama watoto yani, wanapenda kudekezwa na kubembelezwa so ukifanya hivo vitu utajikuta unatunukiwa zigo bila kutarajiaHapo huo mpirA ukutane na mafundi wa mipira iliyokufa,,utasimuliwa magoli
Hataki amekutega tuhapana shem, kwani unataka kuambiwa shem?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Bhaaass, imeshathibitishwa na Mkemia mkuu Dr Daby... Haha
Nlifkir pekeangMada nzuri ila kwenye Inglish hapo nimetoka jokeli