Leo kupaprika itakuwa ni saa ngapi jamani?[emoji1][emoji1][emoji1]Kweli kabisa!
Ndo wanasema mjanja akipata, mjinga kafanywaje?kashalizwa mtu
Hiyo teknik ni bomba sana, sema wengi hawajaishtukia tu, mkuu biq upYaah nimewapata wengi wakija kwangu kulala mika juu ya relation yao huku wakilia kwa uchungu..akiwa kifuan nikimbembeleza anyamaze..anazidi lkn nikimvua sket ananyamaza na kubadili mlio wa mala ya kwanza
Alafu madem wakiwa katika hali kama hiyo wanakuwa kama watoto yani, wanapenda kudekezwa na kubembelezwa so ukifanya hivo vitu utajikuta unatunukiwa zigo bila kutarajiaHapo huo mpirA ukutane na mafundi wa mipira iliyokufa,,utasimuliwa magoli
Exactly!!, ndomana wakasemaga mapenzi ni upofu, ukishamaliza kwichikwichi ndio akili zinakukaa sawaHa ha ha ukutane sasa na mfundi wa kwenye slope wanavyojua ku care akijichanganya tu kaisha, Ubaya wake akishamegwa tu ndio akili inarud
HahaBhaaass, imeshathibitishwa na Mkemia mkuu Dr Daby... Haha
Stunter mwanaume humu JF asipokubaliana na hili uliloandika kwa 100% atakuwa na matatizo.Milele na Milele usimruhusu Msichana wako
amueleze Matatizo yake Mvulana Mwingine hata
kama ni kwa kisingizio cha rafiki.
Mwanzoni atampa A Shoulder to lean on,lakini
Baadae atampa A Dick to ride on.
Mwanamke mwenye Stress ni vulnerable and Weak and whoever gives her shelter is likely to
cause more problems to your relationship.
Kama una matatizo na Ur Girlfriend make sure
mnayamaliza mapema mkiwa wawili kabla
hajaanza kutafuta wa kumwambia,lasivyo kuna
mtu atadandia matatizo na kuiba asali yako...Ni hayo tu