jaqfantasy212
JF-Expert Member
- Dec 17, 2012
- 542
- 258
Habari wakuu!!
Leo nimeamua kuandika kilichopo katika ndoto yangu katika swala zima la mahusiano..
Kila mtu amekuwa na ndoto au aina fulani hiv ya mtu ambaye angependa kuwa nawe katika mahusiano, kwangu mm namuota mwanaume wa aina hii..
1:Mwanaume ambaye ningependa kuwa naye kwanza awe mwenye umri kati ya miaka 27-35
Hii ni kwasababu mm mwenyewe nina miaka 27 kwahiyo nisingependa mwanaume nitakayekuwa nae nimzid umri..
2: Ningependa kuwa na mwanaume ambaye ameshapitia na kufanya mambo mengi sana, kiasi kwamba haoni jipya..
Mfano: mwanaume ambaye alikuwa malaya ameshatembea na aina zote za wanawake amemaliza na ss ameamua kutulia na kutengeneza life.
3: mwanaume ambaye ataniongoza katika maisha yangu, hasa katika ushaur au kunikosoa ninapokosea
4: mwanaume ambaye atakuwa rafiki yangu..
5: mwanaume ambaye anavumilika, nikisema anavumilika namaanisha hata kama hana kaz au ela lakini ni mwanaume ambaye ana akili na ukimsikiliza na kumuangalia ana future..
6:mwanaume ambaye anamsimamo na mwenye kujitambua anataka nn..
Dhaa!! Naota mengi ila kwasasa ngoja niishie hapa..