Mwanaume wa kiarabu mwenye silaha aua raia wawili wa Sweden mjini Brussels, Ubelgiji

Mie ni mkatoliki,nimefundishwa kuheshimu dini za wengine,na hili linalofanyika Palestina,mie ninapinga kbs,halifai halifai na halikubaliki kbs, wapalestina wanafanyiwa undamaged na uhalifu mkubwa ambao binadamu hastahili kbs kufanyiwa.
Waisrael walivyofanyiwa ulipinga ?
 
Mie ni mkatoliki,nimefundishwa kuheshimu dini za wengine,na hili linalofanyika Palestina,mie ninapinga kbs,halifai halifai na halikubaliki kbs, wapalestina wanafanyiwa undamaged na uhalifu mkubwa ambao binadamu hastahili kbs kufanyiwa.

Tofautisha palestina na hamas,gaza inateketezwa kwasababu ya hamas
 
Mbona kule Marekani kila leo utasikia kafiri mmoja kafiri wenzake kwenye mall fulani Uislam unahusika vipi hapo.

Usihamishe mada,kwa kujaribu kulinganisha na uovu mwingine,hawq ni magaidi wa kidini wale wa usa ni wagonjwa wa akili.
 
Imerokea usiku huu huko Brussels. Mwanaume huyo wa kiarabu kaua raia wawili wa Sweden huku akiita Allah Akbar, Allah Akbar. Kakimbia anasakwa, habari zinakuja
ndio allah amewaambia wafanye hivyo, ndio maana analia alah akbar.
 
India mnapigana na Wahindu na kuchinjana

Sudan, Somalia mnapigana wenyewe kwa wenyewe

Afrika ya Kati mnapigana na Wakristo. Mkijiita Seleka.

Nigeria mnaua wasio wa dini yenu kila kukicha.

China mnapigana na Wabudha

Tanzania mnalipua lipua ofisi za ubalozi na fujo za maeneo yenu ya Kibiti, Mkuranga, Rufiji, Tanga, Tindikali Zanzibar, kuchoma mabucha ya Nguruwe nk.

Kenya wanafunzi wa chuo cha Garisa waliambiwa wasome Surat Fatiha wakishindwa wanapigwa risasi.
Bila kuwa na hatia yoyote.

Irani mwanamke asipovaa Hijabu anauliwa.

Duniani kote mnajilipua mabomu na kuuwa watu
Nk.

Hivi mkitulia na kujitafakari hamuoni Kuna shida mahali kwenye hiyo Imani?

Au hamfanyagi tathmini yoyote kuhusu maisha ya Dini yenu?

Shida hasa ninini ?
Hebu tupe Somo Ustadh

Nipo nakusubiri.

Au hao wote ni Mazayuni ? Yaani Waisraeli...!
Au ndio kutimiza Aya,

"Asiyetaka Dini ya Kiislamu Haitakubalika Kwake"
Ngoja waje mkuu watupe somo
 
Unaambiwa Ulaya yote itakuja kuwa ya waislamu. Waulize Lebanon.
Brexit Waingereza waliwahi kuwaza japo tayari wanao ndani, kama ikiwezekana ulaya wangewapa hawa muda kipindi kichache warudi makwao ama kama wanataka kukaa wakubali imani ya wenyeji.

Ni tatizo tupu hawa watu, hata wao kwa wao bado ni shida angalia Somalia,Sudan na Yemen hatari tupu.
 
Andika kwa utaratibu, una haraka yanini? Hakuna jipya hapo.
Screenshot_20231017-090333_Quora.jpg

The irony is real
Screenshot_20231017-090355_Quora.jpg
 
Imerokea usiku huu huko Brussels. Mwanaume huyo wa kiarabu kaua raia wawili wa Sweden huku akiita Allah Akbar, Allah Akbar. Kakimbia anasakwa, habari zinakuja
Ila hii dini sijui wanafundishwa nini huko madrasa
 
India mnapigana na Wahindu na kuchinjana

Sudan, Somalia mnapigana wenyewe kwa wenyewe

Afrika ya Kati mnapigana na Wakristo. Mkijiita Seleka.

Nigeria mnaua wasio wa dini yenu kila kukicha.

China mnapigana na Wabudha

Tanzania mnalipua lipua ofisi za ubalozi na fujo za maeneo yenu ya Kibiti, Mkuranga, Rufiji, Tanga, Tindikali Zanzibar, kuchoma mabucha ya Nguruwe nk.

Kenya wanafunzi wa chuo cha Garisa waliambiwa wasome Surat Fatiha wakishindwa wanapigwa risasi.
Bila kuwa na hatia yoyote.

Irani mwanamke asipovaa Hijabu anauliwa.

Duniani kote mnajilipua mabomu na kuuwa watu
Nk.

Hivi mkitulia na kujitafakari hamuoni Kuna shida mahali kwenye hiyo Imani?

Au hamfanyagi tathmini yoyote kuhusu maisha ya Dini yenu?

Shida hasa ninini ?
Hebu tupe Somo Ustadh

Nipo nakusubiri.

Au hao wote ni Mazayuni ? Yaani Waisraeli...!
Au ndio kutimiza Aya,

"Asiyetaka Dini ya Kiislamu Haitakubalika Kwake"
Hii ni hatari sana,Mungu aweke mkono wake.
 
Mbona kule Marekani kila leo utasikia kafiri mmoja kafiri wenzake kwenye mall fulani Uislam unahusika vipi hapo.
Uislamu ni ugaidi. Sehemu zozote zenye waislamu wengi lazima kuna vita au machafuko km hakuna ni suala la muda tu lazima waunde kikundi cha kigaidi cha kiislamu.
Pale Iran, binti wa kiislamu hakufunika kichwa, mashekh wa kiislamu wakamuua. Hii dini ni ugaidi
Sehemu yoyote ukiona kuna waumini wengi wa kigaidi tegemea watu kuuliwa wasio na hatia, kuchomwa kwa makanisa au kuuliwa kwa viongozi wa makanisa.
China iligundua hili, kuukaribisha uislamu, umekaribisha vita.
 
Back
Top Bottom