camp konzi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 574
- 1,110
kwa kweli sisi zetu ni dua tu
Huyu ni wewe unaendeleza alipoishia ndugu Yako.Daah mwanangu halafu huwezi amini kuna ndugu yangu mmoja kitambo hicho miaka hiyo ya kina Harusi Mabele ft. LOKETO alikua anapenda sana kucheza hivyo sema msengeyule alikua anakatika km mCongoman qumamake yaan jamaa km wale wacheza bolingo wa Congo kiuno km Ray C alikua anakatikakisenge ingawa kipindi kile kulikua hakuna social media events ila alikua kwenye sherehe lazima ajionyeshe jinsi anavyokatika sasa hivi ameoa na ana watoto 7