Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,338
- 17,875
Na ntajiaminije kuwa ni wangu? Nataka mwanamke atakayenipa challenge nihangaike na kujiaminisha pasi na shaka kuwa ni wangu.
Hommie Asprin kumbe aisee unauza chai hadi huku? huo ni uwongo kabisa....kwa sisi mwanamke wa ivo ingekuwa ngumu sana
Last edited by a moderator: